Kuna muda ni bora kuweka Airplane mode kuepuka mizinga

Mkuu, Kiongozi, Tajiri, wa kwetu, Home boy, nk.. lugha za mizinga hizo.
 
Kuna muda ukipata hela wenzako unaofanyanao kazi kama wanajua umepata hela ni bora kuweka Airplane mode kuepuka Mizinga 😃 , simu zitaingia Kama zote , utasikia Mkuu mbona kimya unaniachaje
Unamkomoa au unajikomoa,kwani ukimjibu huna anakupeleka polisi au inakuaje??.ila kumbuka pia na wewe ukiwa na shida akikuwekea kindege pia usije kuleta uzi apa😂
 
Unamkomoa au unajikomoa,kwani ukimjibu huna anakupeleka polisi au inakuaje??.ila kumbuka pia na wewe ukiwa na shida akikuwekea kindege pia usije kuleta uzi apa😂
Tatizo anakuwa mtu wa karibu mnaheshimiana / marafiki halafu anafahamu Mzigo umesoma kwako hapo kuchomoa ni ngumu kidogo
 
ukiweka kindege kwa cm yako kuna baadhi ya vitu huwez kufanya kama
-kupiga na kupata cm
-kutuma na kapata sms
-kuperuzi mitandao kwa internet
badala ya kuweka kindege piga "code"tu yaan hawataweza kukupigia wala kuku text ila wew utampigia na kumtext unaemtaka kwisha
Nitajie hizo code mkuu
 
Back
Top Bottom