Search results

  1. CalvinKimaro

    Rais Samia kafanya alichofanya Mzee Mohammed Kissoky miaka ya 70 Bukoba

    Kutoka kwa Nguli la Artifical Intel =AZVPJI1yW9MoSQQLn68jW059p2Hv9XovEul-4su0ExTptJBYvDyS1jE5BzK4VAjAg3BPzbI5cl3_G1i3_IVWYde5oHPBIku7pj_dWLi-vjUNkq-t6QDJYUANsPiE71cRXRnvYf8ry6HAPQzOgsnRiNESlOhsj5GV4YoFJKBSAXIKfDAMnXeQyhtjAwwxN8jaSQE&tn=-R']Yahya Msangi Wakati wa zile RTC palitokea uhaba wa...
  2. CalvinKimaro

    Ni kweli tuchukue HATUA kama mtakavyo

    Morning KWA SABABU "CHUMA"....... Miradi yake mingine inaleta foleni, haina maana na hasara?...Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya...
  3. CalvinKimaro

    Watanzania wenzangu, biashara ya usafiri wa anga (ndege) sio kama Uber jamani

    Tunapoambiwa ATCL imepata hasara tusibeze sana. Kuna American Express na Delta Lines wanachungulia kaburi! Na Amar hapo UK British Airways imegubikwa madeni nusura izame! Tatizo lenu ni uzungu pori? Ni mashirika ya wenye mafuta kina EMIRATES, QATAR na wenzao Serikali zao zimenunua madeni...
  4. CalvinKimaro

    Ushauri wa kisaikolojia kuhusu COVID-19

    Mshauri mmoja wa mambo ya saikolokjia na jamii aliyefuatilia mlipuko wa Corona unaosababishwa na Virusi vya Covid-19 ameshauri ifuatavyo: 1. Jitenge mwenyewe usipate taarifa mbaya za ugonjwa huu kila mara (kwa kuwa mambo mengi unayohitaji kujua juu ya Corona umeshayajua, yaliyobaki ni marudio...
  5. CalvinKimaro

    Barua ya wazi kwa Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

    Amani iwe kwako! Mimi nikiwa kama muumini wa Kanisa lako la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki nimeshangazwa na ujumbe ulioutuma katika barua ya wazi kwa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwani umeacha jukumu la msingi uliloitiwa na Mungu la kutuhubiria wananchi ili tuokoke na...
  6. CalvinKimaro

    Akili mukichwa: Wengine wakimbia nchi wengine wakimbilia Bungeni Dodoma

    Mara baada tu ya matokeo ya uchaguzi viongozi wakuu wa CHADEMA walidai hawawezi kubariki uchafuzi na kwamba hakuna mbunge wao atakubali kuapishwa. Sasa wameapishwa! Nimesikia Lissu akihojiwa leo na TV kuhusu kuapishwa wabunge wa CHADEMA naye akadai kwamba anajisikia kama Yesu aliyesalitiwa...
  7. CalvinKimaro

    Tufahamishane: Ushirika wa CHADEMA, Christian Democratic Union, Konrad Adenauer Stiftung na David McAllister

    Ushirika wa Chadema, Christian Democratic Union, Konrad Adenauer Stiftung na David McAllister. Nimesoma na kufuatilia mjadala kuhusu alichokisema Bwana David McAllister kwenye kikao cha Kamati ya Masuala ya Nje ya Bunge la Ulaya. Kuna machache ya kuyafahamu kwa undani kidogo. Wakati Tundu...
  8. CalvinKimaro

    Uchaguzi 2020 Kampeni za Tanzania: Badala ya Mgombea kuulizwa maswali, yeye ndiye anawauliza maswali Wananchi

    Ni bahati mbaya mikutano ya CHADEMA na ACT wanaoulizwa maswali ni Wananchi waliokuja kuwasikiliza badala ya wananchi kuwauliza wao maswali. Kwa kuwa siku bado ningefurahi kama kuna atakayewauliza wagombea wakuu wa CHADEMA na ACT haya maswali yangu. Au tufanye mdahalo nao? Maswali yangu ni haya...
  9. CalvinKimaro

    Kwa kauli hizi hawa wamejiandaa kukataa matokeo hata wakishindwa

    Nimesikia mara kadhaa wagombea wa ACT na wa CDM wakidai hawatakubali kushindwa kwa kuibiwa kura. Hii ina maana gani? Ni nani atakayeamua kura zimeibwa au hazikuibwa? Wao? Kama wataamua wao nani atakayepima wanachosema ni kweli au ni uongo? Nani kisheria ndiye anatangaza mshindi? Kwa kauli hizi...
  10. CalvinKimaro

    Lissu unasema uongo kuhusu Jeshi la Akiba, umesahau au hujui?

    Juzi nilimsikia intern wangu akidai mgambo ni intarahamwe na kuwa hakuna kitu kinaitwa jeshi la akiba. Nimpe benefit of doubt kuwa hajui au kasahau. Ningependa nimumbushe tena kwa picha. Kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha JKT na jeshi la mgambo yeyote aliepitia JKT au mgambo ni askari wa akiba...
  11. CalvinKimaro

    Michango style ya Mzee Kingo ni hatari

    Ukiona watu wanachangishana msibani au harusini ili kuwezesha mazishi au ndoa jua hali sio nzuri kwenye familia. Mzee Kingo aliwahi kuchangisha msibani watu wakajua za sanda. Walishangaa karudi yuko mbwii! Kumuuliza akawajibu "Wakati nawachangisha niliwaambia matumizi"? Hivi CHADEMA hamkujua...
  12. CalvinKimaro

    Hatuwezi kubuni utaratibu wetu kwa kupiga kura tu bila kampeni?

    Hivi kitabu kipi cha imani kinasema ili kuchagua lazima kufanya kampeni? Kwani wagombea ni kutoka ng'ambo? Si wanajulikana na wapiga kura? Kwa nini tusipange tu siku ya kupiga kura? Si tutaokoa fedha nyingi? Si tutaepusha nchi kufarakanishwa? Si tutamwepusha aliye Rais kuacha kututumikia kwa...
  13. CalvinKimaro

    Ukiambiwa kalete picha ya "passport size" haimaanishi upeleke picha ya kuweka kwenye Hati ya Kusafiria aka Passport

    Ukiambiwa kalete picha ya "passport size" haimaanishi upeleke picha ya kuweka kwenye hati ya kusafiria aka passport. Neno "size" linamaanisha "ukubwa wa picha" yaani "dimension". Kitaalamu "passport size" ni picha yenye vipimo hivi: Inchi 2 upana na inchi 2 urefu (2 x 2 inches) au (51 x 51 mm)...
  14. CalvinKimaro

    Usiahidi mbingu wakati mawingu huyafikii. Don't promise the sky while the clouds are out of your reach!

    Tukumbushane ahadi, 1. Serikali ikikamata makenikia itabamizwa mahakama za kimataifa. Hewa! 2. Huu ni mwaka wa kudai demokrasia lazima katiba na tume huru kabla ya uchaguzi. Hewa! 3. Tanzania itatengwa maana dunia ni kijiji. Hewa! 4. Uchumi umevurugwa nchi itaingia matatizo makubwa ya...
  15. CalvinKimaro

    Wapinzani, vigezo mnavyotumia ndiyo sumu yenu

    Ukitizama chaguzi mfano UK na US utaona ikifika kuchagua nani apeperushe bendera ya chama wapinzani wanaangalia uwezo na mawazo ya watangaza nia. Kamwe hawachagui asiye na uwezo au mawazo bora. Sasa rudi Tanzania. Wapinzani wanatumia vigezo hivi kumpata mpeperusha bendera: 1. Mwanachama wa...
  16. CalvinKimaro

    Homa ikipungua kuna haya ya kufikirisha Ndugu Lissu

    1. Sasa ule umbali haupo tena. Ukitukana au kudhalilisha au kusema uongo umbali kati ya kituo cha polisi na mhusika utakuwa umepungua mno. 2. Sasa ile kinga kuwa polisi wangeendelea na uchunguzi bila mhusika mkuu kuwepo sasa imeondoka. Sasa mtihani uko kwake. Atatakiwa atoe ushirikiano na...
  17. CalvinKimaro

    Ni muda wa kufufua wazo la Jenerali Twaha, tuanze kuukomesha usultani wa Dodoma

    Katika Bunge la mwisho wa utawala wa Baba wa Taifa ilizuka hoja ya ukomo wa uraisi. Nina hakika hoja hii ilipenyezwa na yeye mwenyewe ili kulinda Taifa dhidi ya usultani. Mwalimu aliona kuwa Nyerere ni yeye. Mtu mwingine akipewa madaraka yasiyo na ukomo kama yeye anaweza kugeuka sultani. Lakini...
  18. CalvinKimaro

    Ahadi ni deni: Je, nini kilifanya watu wavute sigara, wakina dada wavae high heels (viatu mchuchumio)?

    Hakuna kitendo binadamu anatenda ambacho hakina historia yake. Bahati mbaya sana Waafrika tulifungia akili kabatini tukakataa kusoma masomo kama evolution, anthropology, n.k. Wakati waliotuketea imani zao wao wakiendelea kusoma. Moja ya somo walilotukataza linaitwa "semiotics". Semiotics ni...
  19. CalvinKimaro

    Mbunge anajadili bajeti Youtube badala ya bungeni! Mwingine naye aliomba urais kupitia Youtube

    Karibu wiki nzima bunge lilikuwa linajadili bajeti. Mbunge Zitto Kabwe hakuonekana bungeni hata siku moja kuchangia mawazo. Sasa kaibuka na comedy ya hotuba ya kuchambua bajeti YouTube. Kesho kaitisha press conference eti kufanya uchambuzi wa bajeti. Hivi anajitambua? Mbunge uache shughuli nyeti...
  20. CalvinKimaro

    CHADEMA, ahadi ni deni

    Kuna hizi ahadi CHADEMA mliahidi: 1. Mliahidi mtateua watendaji wenu serikali za mitaa ili watoe huduma kwa wananchi kwa kuwa hamuwatambui waliochaguliwa uchaguzi mdogo. Mmefikia wapi? Wanatoa huduma gani? Tupeni majina ya viongozi wenu tuwape kero zetu. 2. Mlidai kupitia zoezi la chadema ni...
Back
Top Bottom