Search results

  1. madindigwa

    DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

    Safi kabisa wanawake siku hizi wanajengwa na kiburi sana hasa akkuona una mali ww mumeo kakuamini miaka 20 wewe ni muhasibu unataka nn acha apate alicho stahili
  2. madindigwa

    Hizi ndio lugha 20 zinazozungumzwa zaidi duniani

    Huu ni uongo mkuu
  3. madindigwa

    Bunge laondoa kigezo cha kupitia JKT na JKU kuajiriwa vyombo vya ulinzi

    Huu ni upumbavu wa hali ya juu tujiandae kua na majeshi ya watu lege lege wasio wazalendo wala rushwa
  4. madindigwa

    Wizi wa viatu msikiti wa Manyema

    Usiwe mjinga ww kwani makanisani hakuna wazi wa mikoba
  5. madindigwa

    Wanaume kulala chumba kimoja na uwezekano wa kupitiwa na shetani

    Nimekaa magetoni na washikaji hata siku moja haikuwahi kutokea eti mmoja wetu kamtamani mwenzie
  6. madindigwa

    Msaada: Toka May 2023 hadi sasa sijapata passport, nimeambiwa mimi sio mtanzania

    Mkuu haya ma jamaa ni ya hovyo sana mtafute yerico nyerere atakusaidia
  7. madindigwa

    Taazia: Yusuf Salum Maleta nahodha wa Sunderland

    Mungu akupe umri mreefu wenye afya njema
  8. madindigwa

    Hivi kuna raia wanajivunia kuwa Watanzania?

    Hujatembea nchi za wengine mkuu
  9. madindigwa

    Mapenzi ya Baba kwa watoto wa Nje yanatuumiza

    Niwe mkweli cjakuelewa
  10. madindigwa

    B.O.T fedha za sarafu ziko kwenye ma kamali ya wachina

    Kifupi ni utapeli mkuu unaondelea full kupotosha jamii
  11. madindigwa

    B.O.T fedha za sarafu ziko kwenye ma kamali ya wachina

    Wakati wananchi tukihangaika uhaba wa fedha za sarafu hasa sisi wafanya biashra wadogo wadogo na wajasiriamali BOT wanakuja na sera eti wananchi wameweka sarafu kwenye vibubu Kwa utafiti gani mlio fanya wakati sarafu zote wanazo wachina wameziweka kwenye mamashine yao ya kamali kila kwenye...
  12. madindigwa

    Nitabaki na mke wangu na wanangu, kumbe ndugu ni kenge tu

    Pole sana mkuu Mungu akuponye ndugu lawama
  13. madindigwa

    Tanroad mnasubiri nini kuondoa kifusi mlichokiweka makutano ya barabara ya Msimbazi na Mafia

    Mie nawauliza tu hivi kile kifusi mlichoziba lile shimo kwenye makutano ya barabara ya Msimbazi na Mafia pale karibu na Big Bon ndio kimefika pale au mpaka aje Waziri mwenye dhamana awaambie ndio mkitoe. Au mnasubiri mpaka mvua inyeshe liwe tope pale barabarani hebu kuweni wastaarabu kale...
  14. madindigwa

    Kisa cha kweli kilichompata braza akijitafuta kuelekea Msumbiji

    Acha ujinga kaa tulia andika stori Ndefu au ww ni Dreva wa boda
  15. madindigwa

    Ukweli wa Ajali ya bus la Mkombe luxury hiki ndicho kilichotokea, Ukweli utatuweka huru

    Kwa nn wasiwapige makofi watu wawili tu ndio wanasababisha matatizo kwa watu wwngine
Back
Top Bottom