Search results

  1. G

    House4Rent Nyumba Inapangishwa Shs 500,000

    Nyumba (apartment) nzuri sana inapangishwa. Nyumba iko maeneo ya Kimara Korogwe, umbali 2kms kutoka Morogoro road, na sifa zifuatazo: Vyumba 3 vya kulala (kimoja ni masterbedroom) Sebule kubwa Jiko lenye makabati (kitchen cabinets) Public toilet LUKU Maji (DAWASA) Parking ya kutosha Paving...
  2. G

    Toyota Raum, Allex na Runx na IST

    mathabane, Mkuu, nina uzoefu wa IST, Spacio, Runx/Allex. Nakushauri ununue Runx au Allex. Kwanza hakuna tofauti kati ya Allex na Runx. Ni majina tu lakini injini na body na options kwenye zote sawa. Ni vizuri uchukue injini ya 1496cc kwa sababu ina nguvu kuliko 1290cc lakini pia unywaji wake...
  3. G

    Kiwanja kinauzwa Goba

    Kiwanja inauzwa, kipo Goba Tegeta A. Kiwanja hakijapimwa. Tayari kuna makazi ya watu. Kipo mita kama 600 kutoka barabara ya lami ya Goba - Mbezi. Ukubwa wa kiwanja: 20m x 22m Bei: Milioni 15 Mawasiliano: 0784 670 262
  4. G

    1AZ-SFE VS 3S-FE

    Sijui ipi ni kiboko ya mwenzie kama ulivyouliza ila nafahamu haya: 1. 1AZ-SFE ni engine model iliyotengenezwa baada ya 3S-FE, hivyo kwa maana ya ukisasa 1AZ-SFE ni mpya zaidi ya 3S-FE. 2. 1 AZ-SFE maarufu zaidi kama D4 ina technolojia nzuri zaidi katika utumiaji wa mafuta kulinganisha na...
  5. G

    Vifaa vya ujenzi wa slab ya ghorofa vinauzwa

    Habari Wakuu, Kwa yeyote anayehitaji mirunda, mbao, marine boards, n.k. vinapatikana. Vifaa vimetumika mara moja na viko katika hali nzuri,. Vifaa viko Kimara, Dar Es Salaam. Mchanganuo: Marine boards (cut pieces) Mirunda zaidi ya 200, @sh 2,500/- Mbao size 2'' x 4'' (nzima na vipande), zaidi...
  6. G

    Vifaa vya ujenzi (mirunda, mbao, marine boards) vinahitajika

    Habari Wakuu, Kwa yeyote mwenye vifaa vya ujenzi vilivyotumika kama mirunda, marine boards, mbao, n.k. tuwasiliane. Viwe katika hali nzuri ya kutumika tena. Mahali: DSM
  7. G

    Gari ndogo inahitajika ( Toyota Vitz, Starlet, Passo)

    Gari ndogo ya kukodi inahitajika. Iwe katika hali nzuri. Itatumika kwa matumizi ya kawaida tu sio biashara kwa muda wa wiki mbili. Ikiwa Toyota Vitz, Toyota Starlet au Toyota Passo itafaa zaidi. Tafadhali tuma PM tufanye biashara.
  8. G

    Range Rover for sale Tsh 20M

    Great Range Rover, easy to drive and very fuel efficient because of its 2500 cc diesel engine. Car is in great condition and is available in Dar Es Salaam. Details: Year of manufacture: 1996 2.5L diesel engine Automatic transmission Mileage: 190,000 kms Comes with comprehensive insurance and...
  9. G

    Kwa Wanandoa Wote...With Love and Care

    A powerful message...shukrana sana Mkuu Cathode Rays
  10. G

    Kati ya toyota Nadia na Opa naombeni ushauri ipi bora

    Nilitumia Nadia 2002 model (ACN10, engine 1AZ) kwa miaka miwili na huu ndio uzoefu wangu: Faida: 1. Nadia ni nzuri sana kwenye barabara. Imetulia sana. Ina speed na haitetereki barabarani. Kwenye safari uta-enjoy zaidi. 2. It is very luxurious and has nice interior (dashboard, design,etc)...
  11. G

    Toyota Nadia for sale

    Toyota Nadia 2002 model (ex-Japan) is for sale. The car is registered,duty paid and comprehensively insured. The car has been well kept and mechanically maintained. It is in Dar Es Salaam. Here are the specs: Year: 2002 Chassis: ACN10 Engine: 1 AZ, 1998 cc Transmission: Automatic...
  12. G

    Gari inauzwa - VW Passat 2003

    Iko sokoni. Gari: Volkswagen Passat ya mwaka 2003. Injini yake ni 1.8L, 4 cylinders, manual transmission. Imetembea 105,000 kms. Imelipiwa kodi na kusajiliwa. Bei: Tsh million 15 (maongezi yanakaribishwa). Piga simu 0718 824 848 kwa maongezi zaidi.
  13. G

    Naomba ushauri - Toyota Premio

    Wana JF, tafadhali naomba ushauri kwa wale wenye na Toyota Corona Premio (1.8L engine). Ningependa kujua upatikanaji wa spea zake kwa bongo, utumiaji wa mafuta, uimara wake barabarani, n.k. Nawashukuru.
  14. G

    Toyota nadia (2002) inauzwa

    Bei imepunguzwa kutoka 11 mpaka 9.5 mn.
  15. G

    TRA na mfumo mpya wa kufanya valuation of Used Vehicles

    Huo mfumo mpya unaongeza gharama maradufu.... Kwa haraka haraka gari ambalo ulikuwa unalipa kodi Tsh 3 millioni, sasa ni zaidi ya sh milioni 6. Na utaratibu huu umeanza toka June 1, 2011.
  16. G

    Toyota nadia (2002) inauzwa

    Photos added.
  17. G

    Toyota nadia (2002) inauzwa

    Imetembea miezi minane Bongo, covered 14,000 kms in Dar.
  18. G

    Toyota nadia (2002) inauzwa

    Engine ni 1AZ. Same engine iliyo kwenye RAV4 (Kilitime), na NOAH
  19. G

    Toyota nadia (2002) inauzwa

    Wanajamvi, Iko sokoni - Toyota Nadia iko katika hali nzuri kabisa. Registered,full duty paid, 90,000 kms, automatic transmission, sports rims. Other options: AM/FM Tuner, CD/DVD/TV, Dual airbags, Central lock,ABS,Power steering, A/C, Power windows, Power Seat (Driver), HID, Rear Spoiler Bei...
Back
Top Bottom