Toyota nadia (2002) inauzwa

Guest321

Member
May 16, 2011
20
15
Wanajamvi,

Iko sokoni - Toyota Nadia iko katika hali nzuri kabisa.

Registered,full duty paid, 90,000 kms, automatic transmission, sports rims.
Other options: AM/FM Tuner, CD/DVD/TV, Dual airbags, Central lock,ABS,Power steering, A/C, Power windows, Power Seat (Driver), HID, Rear Spoiler

Bei poa kabisa Tsh 9.5 mn . Serious buyers please call +255 776 670262.

You'll not regret your decision !
 
Attachments

  • IMG_3465.JPG
    IMG_3465.JPG
    32.7 KB · Views: 142
  • IMG_3467.JPG
    IMG_3467.JPG
    39.1 KB · Views: 175
  • IMG_3466.JPG
    IMG_3466.JPG
    27.9 KB · Views: 137
  • IMG_3469.JPG
    IMG_3469.JPG
    36.5 KB · Views: 148
  • IMG_3468.JPG
    IMG_3468.JPG
    28.6 KB · Views: 127
Naomba kuuliza mkuu, hizi Nadia ndio zina 4D Engine au?
Naomba kujulishwa tafadhali
 
Wanajamvi,

Iko sokoni - Toyota Nadia iko katika hali nzuri kabisa.

Registered,full duty paid, mileage < 100,000, automatic transmission, sports rims

Bei poa kabisa Tsh 11 mn . Serious buyers please call +255 776 670262.

mkuu hapo ipo show room au ndio kazi zako, coz naiona kama haijatumika bongo!
 
Sawa, ina miezi mi8 bongo,
hizo picha ulipiga wakati inakuja? au hivi karibuni baada ya hiyo miezi mi8?
Isije ikawa tunauziana mbuzi kwenye gunia
 
Weka picha kama inavyoonekana sasa sio lazima upigie nyumbani kwako, NADIA tunazijua sana.
 
WTF, jamani mbona hivyo...Jamaa kaweka data zote (description)....picha, Kms, duty, transmission, time in tz, hata na cmu yake...sasa hapo mnataka nini....if umevutiwa mpigie cmu uone mwenyewe gari...

Sometime mnazidi na nyie...khaaaaaa :mod:
 
Ndivo walivo hawa Mkuu,na hapo hakuna mnunuzi hata mmoja,na kila tangazo utawakuta na serazao hizo hizo....!!!loh!!!
 
Weka picha kama inavyoonekana sasa sio lazima upigie nyumbani kwako, NADIA tunazijua sana.

wewe mkuu huoni logo ya ZANTEL kwenye picha ya pili hapo, hujaangalia picha vizuri kujua imepigwa wapi unaropoka fasta fasta,,biashara za watu hizi muwe na heshima
 
Si umtaje tu, ........hasa shark anapenda kujichomeka chomeka kama mnunuzi vile!

We vipi?
Mbona hueleweki?
Amtaje nani?
Na najichomeka kivipi? We ulitaka nisaidiwe kuchomekwa na mtu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom