Search results

  1. bob nasta

    Wanasiasa wanatuua mapema. Pesa za NSSF wanazitumia kwa maslahi yao, jamani tupige kelele

    Tupige kelele hadi masikio yawaume tuko kimya sana jamani .nendeni kwenye ofisi za NSSF mkaone watu walivyokata tamaa na maisha yani afadhali mkoloni. Mtu unaangaika miaka labda 20 anakatwa mshahara wake huo mdogo,sasa akifika kule ataahidiwa mpaka atakufa njaa. Vijana mko wapi mbona waoga...
  2. bob nasta

    Tangazo la Kondomu au Pedi likirushwa nikiwa karibu na binti yangu huwa napata tabu sana

    Jamani, ni kweli tuko kwenye utandawazi lakini haya matangazo yamezidi ukali utasikia Kondomu ina vidoti inanukia inaongeza utamu au yule binti yuko chooni analia damu zimemtoka ghafla hana Pedi mambo hayo yanatia ukakasi au ni ushamba wangu tu ndo unanisumbua.
  3. bob nasta

    Clouds iheshimu sauti ya JK

    Mimi binafsi nisikiapo sauti ya kiongozi wa nchi Redioni au kwenye luninga roho hunidunda najua kuna kitu muhimu nakuja kusikia Sasa hawa wa jamaa clouds naona kama wanaitumia vibaya sauti ya Mkuu wa kaya kila mara DUNIA YAKO CHAGUO LAKO yani naona wanamfananisha RAIS wachekeshaji JAMANI SAUTI...
  4. bob nasta

    St john dodoma [sjut]

    Naomba msaada kama kuna anayefahamu zaidi kuhusu chuo hiki [SJUT ] yaani elimu inayotolewa kwa kifupi nikifananishe na chuo gani kwa ubora au kwa ubaya
Back
Top Bottom