Ni miongoni mwa vyuo vikuuu 13 kama sikosei ambavyo vimefikia stage ya mwisho ya usajili hapa Nchini, so kwa case ya private university nadhani ni hichohicho kimoja na kwa kusoma ni kizuri kwani hakina ushindi wa mezani kama baadhi ya vyuo vingine vya privates ambavyo kwa mwaka mzima hakuna hata mwanafunzi mmoja ambaye anadisco!!! huku ni kitu ambacho hakiwezekani,
Mimi sio mwanafunzi wa hapo msijemkasema nimekifagilia bure.
bwa mdogo acha uoga naona umekipigia debe vya kutosha hicho chuo ila all in all vyuo vyote ni sawa cha msingi ni wewe kuwa compitent.