Search results

  1. C

    Institute of Finance Management (IFM) Final Exam results on SIS

    I am so gratefully to inform all Students of the Institute of Finance Management(IFM),that the result for End of 1 semester are now released only through Students Information System (SIS )of Individual students accounts.Kudos IFM management.
  2. C

    Kwa wazoefu wa online application

    wapendwa nilijaza onlinejobapp form ilikuwa ikihitaji majina 3 ,basically natumia majina mawili so nikajaza 1st name & last name other name nikaandika abbreviation ya first name,wakaniita kwenye wrttn ,kulikuwa na 4m ya kujaza jina no ya mtihani na signature bt due to time i writted only 2 name...
  3. C

    Ideal decimal places!

    Kwa wale statistician ,naomba mnijuze what is the ideal decimal places for correlation values especially r,can i write all significant figures as they appear in calculator!
  4. C

    Swift code in Tanzania

    Please can I have swift cods information for receiving money from abroad particular in Tanzania,Thanks in advance!
  5. C

    Batch ni nini kwenye mambo ya Heslb?

    Wakuu jamvini nina mdogo wangu ambaye yeye alibahatika kuwa allocated na mkopo lakini cha kushangaza hadi sasa kwenye majina yote ambayo yamepelekwa chuoni kwake hajabahatika kuliona akiongea na loan officer anaambiwa batch yake bado haijatumwa sasa kwa sababu muda umekwenda sana tunaanza kupata...
  6. C

    Usainishaji wa mikopo first year!

    Wakuu jamvini kuna mdogo wangu 1st year amepata mkopo lakini jina lake halionekani kwenye orodha ya majina yaliyotumwa kwenye chuo chake amejaribu kufuatilia ofisi ya mikopo chuoni hapo akaambiwa kuna batch nyingine itatoka,wenye uzoefu tafadhali utaratibu umekaaje katika hili?
  7. C

    CPA Admission inakuwaje?

    Wapendwa ningependa kujua hawa watu wa CPA wataniadmit vipi couse nimemaliza ordinary diploma ya account pale IFM sasa sijui kama ntaanzia kwenye ATEC au kwenye modules.
  8. C

    Habari zenu.

    Niaje wakubwa hope mko safi basi tuungane sote ili tuweze kuambukizana maarifa ya kila aina couse Iam new in JF,have a great time members.
Back
Top Bottom