Batch ni nini kwenye mambo ya Heslb?

CB227

Member
Apr 12, 2011
43
5
Wakuu jamvini nina mdogo wangu ambaye yeye alibahatika kuwa allocated na mkopo lakini cha kushangaza hadi sasa kwenye majina yote ambayo yamepelekwa chuoni kwake hajabahatika kuliona akiongea na loan officer anaambiwa batch yake bado haijatumwa sasa kwa sababu muda umekwenda sana tunaanza kupata wasiwasi pengine atakosa hakiyake kwahiyo wakuu mwenye uzoefu tunaomba ushauri tunafanyaje ili jina lake alione na asaini pia natanguliza shukrani za dhati kabisa!
 
Back
Top Bottom