wapendwa nilijaza onlinejobapp form ilikuwa ikihitaji majina 3 ,basically natumia majina mawili so nikajaza 1st name & last name other name nikaandika abbreviation ya first name,wakaniita kwenye wrttn ,kulikuwa na 4m ya kujaza jina no ya mtihani na signature bt due to time i writted only 2 name i was further selected 4 oral interview and now iam worrrying kama wakiliconcile jina la kwenye online app form na kwenye sheet one name will be missing is that a big issue,natanguliza shukrani zangu za dhati!