Search results

  1. Difo

    Uric acid imekuwa changamoto kubwa

    Hello wana jamvi (Jamiiforums) Nime detect hii kitu kwa mara ya kwanza mwaka 2016 Tangia hapo inashuka na kupanda Nimetumia dawa za hospital Bado hazileti nafuu Angalau dawa za mitishamba(kisuna zile) Naomba ushauri ama altenative kwa wanaojua hii kitu
  2. Difo

    Toyota Prado tx 1kz diesel or Rav 4 third generation engine 2az

    Zote zikiwa na hali nzuri Rav 4 2az engine Less than 100000km Prado 2000 Km 120000 Hapa tuzungumzie only Durability Spare parts Changamoto zake . Matumizi ni town trip km 20 daily Na longtrip km 3000 mara 3 kwa mwaka na rough roud zimo kidogo Napokea mapendekezo Kila ntalifanyia kazi Ipi ya...
  3. Difo

    Ambao wanajiandaa ku re seat exams

    Heshima kwenu wana jukwaa Hapa ndo mahali pekee tunakutana na watu wa kila namna.na ngazi zote za elimu kwa nchi yetu, nisiwachoshe niende kwenye mada. Natambua kuna sababu mbali mbali hufanya mtu asifike malengo/matokeo mazuri kwenye final exams. Mfano Csee/Acsee and the like na option huwa...
  4. Difo

    Premio 2005 or rav4 2003

    Wakuu kuna hizi gar mbili Premio 2005 odo 55000km tsh 13 no Na rav4 2003 103000km tsh 15 Tofauti ya bei ni 2mil. Ipi ya kuchukua hapo Ushauri wenu ni muhim sana hasa wenye uzoefu na hizo gar yajwa hapo juu
  5. Difo

    Screen complete iphone 6plus

    Heshima kwen wana jukwaa.nahitaji sceen complete ya iphone 6plus niko mwanza.na just to know it will cost how much
  6. Difo

    huawei e303h-1 tigo

    msaada wa namna ya ku unlock hiyo klitu. nimetumia ile njia ya mtotosix moderm imekufa,mwenye idea ya hii kitu regards
  7. Difo

    Boxer bm 150 inahitajika ,

    ANY SERIOUS SELLER ANICHEK 0786790942,BUDGET 1.4Mill, niko Tanga
  8. Difo

    MOSHI TOWN-computer maintanance

    kwa wakazi wa moshi na vitongoji vyake,ninafanya computer maintanance,any softawre installation,antivirus installation kama kaspersky internet security 2012,avg internet security 2012,eset nod,avast,mse. Speed up your computer at resonable price-contact 0716776292,or through PM
  9. Difo

    blackberry 9530 wireless verizon help

    wana technology nina hiyo tatizo ni kwamba siwezi uliza salio *102# wala kuweka vocha-msaada pls anyone knows how to fix
  10. Difo

    eset smart security 5

    hi wana jamii, naomba kwa mwenye working keys za eset smart security 5.0.95.0-thanks in advance
  11. Difo

    help! BLACKBERRY BOLD 9000

    msaada jaman simu haisomi pdf files........msaada wa haraka tafadhal
Back
Top Bottom