Toyota Prado tx 1kz diesel or Rav 4 third generation engine 2az

Difo

Senior Member
Mar 29, 2011
111
164
Zote zikiwa na hali nzuri
Rav 4 2az engine
Less than 100000km
Prado 2000
Km 120000

Hapa tuzungumzie only
Durability
Spare parts
Changamoto zake .

Matumizi ni town trip km 20 daily
Na longtrip km 3000 mara 3 kwa mwaka na rough roud zimo kidogo

Napokea mapendekezo
Kila ntalifanyia kazi
Ipi ya kuchukua hapo
 
1KZ haina fuel consumption nzuri, spare zipo kibao na mafundi wengi wanaimudu

Nilidhani hii 1KZ ndo ina consumption nzuri. 3rz najua haina consumption nzuri coz ni petrol na natural aspirated

Ila kwa town bado naona rav4 ni afadhali, running costs zitakuwa chini kidogo. RAV italast zaidi kwa sababu engine yake ni petrol haina turbo na imeprove kuwa reliable (with one exception, ikianza kuchoka inakula oil).
 
Hello.leta sabubu za kwa nini kuchukua prado 90 1kz
Please.ushauri wako unazingatiwa
 
Chukua rav 4 mkuu. Kwanza mafundi wengi. 2AZ vipuli kila kona coz hio engine haifungi rav4 pekee, Nakumbuka kuna jamaa yangu mechanics huwa anawaambia madogo engine za kujifunzia ufundi ni hz az series na kd series
 
  • Thanks
Reactions: PYD

Similar Discussions

Back
Top Bottom