Search results

  1. Difo

    Maji kupungua kwenye rejeta, engine 1 NZ

    Bado kuepeka kutu na changamoto zake Tumia coolant Kuna faida nyingi kwa kutumia coolant badala ya maji Hasa gari zinazokaa chini muda bila kutumika. Coolant sio gharama sana Kulingana na gharama za kufix shida za kutu kwenye njia ya rejeta na vitu kama hivyo
  2. Difo

    Hivi hakuna app za Magari zaidi ya Kupatana na Jiji

    Instagram Kuna account kibao za kuuza na kununua magari kwa sasa. Ni best kuliko Jiji na hizo nyingine z mtaan Maana insta page Wana update daily kila siku na option za exchange zipo mno
  3. Difo

    Engine oil gani ni nzuri kwa Gari aina ya IST?

    Elimu ya car maintenance. Ni muhim sana Kwa sasa. Forums Kama jamiiforums imeendelea kuwa mkombozi sana And so elimu ya oil pia ni muhimu mno Inakuta gari ina sauti sio poa kwenye engine Lakin ukifuatilia unakuta ni oil iliyowekwa sio poa Tujifunze kusoma manual za magari Ama kuitumia google...
  4. Difo

    Tairi za gari

    Zote chines Na zote nzuri tu.kikubwa angalia muda wa kutengenezwa angalau ziwe za mwaka Jana ,usinunue zilizokaa dukan muda mrefu ubora upungua sana kutokana na utunzwaji mbaya.
  5. Difo

    Nichague IPI kati ya Toyota Rav 4 kilitime na premio new model

    Rav 4 second generation ina engine 3 1az /D4 petrol 1zz petrol 1Kd. Diesel Zote ziko poa isipokuwa D4 ndo ina challenge kidogo hasa overheating,na block issues Zingine ziko poa Ingawa changamoto yake haizuii kuitumia kabisa
  6. Difo

    Uric acid imekuwa changamoto kubwa

    Hello wana jamvi (Jamiiforums) Nime detect hii kitu kwa mara ya kwanza mwaka 2016 Tangia hapo inashuka na kupanda Nimetumia dawa za hospital Bado hazileti nafuu Angalau dawa za mitishamba(kisuna zile) Naomba ushauri ama altenative kwa wanaojua hii kitu
  7. Difo

    Nichague IPI kati ya Toyota Rav 4 kilitime na premio new model

    Hapa kuna mambo mengi ya kuangalia Kabla ya kuchagua Zote ni second generation Premio 2002/2005 vs rav 4. 2000/2005 1.Spare Zote spare zake zinadum sana Na zinapatikana kila mahali 2.engine Zinaingiliana kwenye baadhi ya engine code Tofauti kidogo Premio zina machaguo 3 1nz 1zz(chukua hii) 1az...
  8. Difo

    Naomba kuuliza kuhusu chevrolet inayofanana na swift

    Sijui kama.nimechelewa But Chev ni model moja na swift Mazuri Kana nguvu Cooling system nzuri Fuel consumptio. Katakupa 13km/l highway Muonekano wa ndani mzuri Weakness 1.miguu ya mbele Hapa Gm walikosea kapita Kila ukibadil engine oil cv joing pia zimeisha (Kupatikana kipengele kingine)...
  9. Difo

    Airtel inamilikiwa na nani? Sidhani kama ni Wazungu, wako ovyo sana

    Nawatetea Hawa jamaa issue ya speed, inategemea na device/locatiom yako Town centre ana remote areas Speed haiko sawa Mimi natimia 4g ua airtel download speed Napata 5mbp/4mbs ikishuka 800kbps Device natumia ni latest
  10. Difo

    Nissan Navara ipoje? Spea, Reliability, consumption?

    Nissan Nivara Sijui tumwambia ukweli ama tumuache baada ya mwaka awe mshauri kwa wengine Cut story shot Ukiweza chukua Hilux double yeyote kaunzia 2005 na kuendelea Zina engine bora sana na zinavumilia Spare zipo kila mahali bei nzuri Mafundi wanazijua vizuri Kinyume chake unapata kwa hiyo...
  11. Difo

    Kupata ajira za Tanzania ni bahati nasibu

    Issue ya Ajira kwa sasa Ukitafuta ration/uwiano ya wanaostahili kiakiriwa vs nafasi zilizopo number ni infinity (0. Something) Kimbuka interviewer ni binadam pia Hapo tegemea kupitiwa Kumpa.mtu shauli ya sabau flan May be siku hiyo alivutiwa na utanashati wa muombaji na sabubu nyingine nyingi...
  12. Difo

    Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

    Better nimepata sehem ya kutoa story yangu True story Itakuwa fupi kidogo kutowachosha wasomaji Mwaka 2010 nilikutana na binti mmoja kwenye kongamano la dini chuoni (University) mm ni Rc but naendaga matamasha ya dini nyingine It happen sometimes. Bana tumekaa sehem jilan kila nikimuangalia roho...
  13. Difo

    Must see Movies

    John wick 4 lini free to air to download Naona imechukua muda sana hii Moja ya movie inasubiriwa online
  14. Difo

    Hali ya wanachuo mtaani

    Mleta agenda hii uko sahihi kwa 100% Shida ya ajira imekuwa kubwa mno Na inaendelea kuwa kubwa sana Ukiangalia mfumu ya elimu umekaa kibiashara pia (Yaani vyup pia ni biashara inafanywa) Maana unalipa Ada ili upate elimu What next baada ya kumaliza sio issue kwa Wanabaki ku focus kupata batch...
  15. Difo

    Hivi hakuna njia nyingine ya kupunguza Vitambi/Mafuta mwilini?

    JARIBU HII NJIA YA KUPUNGUZA MUDA WA KUWEKA CHAKULA.MWILINI INAITWA INTERMITTENT FASTING (16/8) .The practice of 16/8 intermittent fasting involves limiting your intake of foods and calorie-containing beverages to a set window of 8 hours per day. You abstain from food for the remaining 16...
  16. Difo

    Nisaidieni kuhusu Toyota Voltz; Uimara, mafuta, matunzo, bei

    Kwenye hii gari nina machache ya kuzungumza 1.perfomance Iko poa maana inatumia engine Ya 1zz vvti one of the best kwenye perfomance na fuel.consumption Vipuri vyake ni vingi 2.other spare parts Hapa ndo kuna shida Rafika angu aliibiwa parts za hii gari nyumbani kwake (Bamper,taa,power...
  17. Difo

    Toyota Prado tx 1kz diesel or Rav 4 third generation engine 2az

    Hello.leta sabubu za kwa nini kuchukua prado 90 1kz Please.ushauri wako unazingatiwa
  18. Difo

    Msaada: Live streaming World Cup!

    Hesgoal.com imekuwa seized leo. Any working links please share hapa
Back
Top Bottom