Habari wanaJF.
Naomba kujua, kila siku tunalalamikia swala la rushwa lakini tunamuhukumu mpokeaji tu, mtoaji hatumgusi. Kwanini wasikamatwe wote?
Pia rushwa ya ngono hii itaisha au ni endelevu?
Naanza kwa kusema kuwa X-mass ya mwaka huu n y kukaa hme na familia. Tangu niwe na akili y kufahamu sikukuu ya mwaka huu cjawah kuiona aisee je ww una maoni gani
Kwanini sisi Watanzania tunasoma ili tuajiriwe? Nimejiuliza tufanyeje kutatua tatizo hili maana tukiambiwa tujiajiri tunaanza kulalamika kwa sababu tumekariri ukisoma lazma uajiriwe.
Mimi nashauri tuache mfumo huu wa kutegemea kuajiriwa. Ukisomea sekta yoyote uwe unaweza kujiendeleza mwenyewe...
Napenda kuchukua nafasi hii kutoa maoni kuhusu kupeleka walimu vijijini na wakaishi Bila shida yoyote, kipindi wanawagawanya walmu mfano walimu kutoka mwanza unawagawa wilaya tofaut eg. Misungwi to Sengerema pia Sengerema to Biharamulo maana yake hata wilaya za mkoa jirani.
Tunaepuka nini...
Watu wanalalamka eti hali ya maisha magumu mbona Tanzania haijalalamika kuwa haina hali mbaya, mbona humu jamii hamna omba omba kila siku si mnakula, vocha mnaeka mbona hamlalamiki badala kununua chakula unanunua vocha eti hali ngumu. Ahsante mkulu ilifikia mahala hata muuza nyanya anajigamba...
Ukitaka kupiga kazi piga kazi, usijali mwenzako kafanyaje. Jiamini, ondoa woga, usipaniki. Kama kiongozi aliyebobea, usipende sifa, fikiri kabla ya kutenda n.k.
Kwahiyo wenye tabia hizo wajirekebishe na kufanya kazi kwa kutumia vyombo vya habar sio tija.
Hivi dawa kukosekana hospitali za serkali na kupatikana hospitali binafsi likoje wadau? Yani sekta ya binafsi zinaenda MSD zinatoa cash zinapata dawa ila halimashauri zikienda zinagonga mwamba au nini?
Nashindwa kuwaelewa wanaodahili vijana wengi halafu siku ya kutoa ajira wanatoa ajira chache. Sasa mlidahili wa nini? Wapate elimu halafu wakajiajiri na wasipojiajiri hela ya kurudisha mkopo wataitoa wapi?
Serikali haioni inapoteza pesa pale wanachuo wanapohitimu na kukosa ajira? Siku hizi la...
Nakumbuka ITV ndicho chombo cha habari kilicholeta /kuonyesha shule zilizojengwa Kwa makuti kule nyanda za kusini mwa tz, je wizara imefanya maamuz gan kulitolea ufafanuz tatzo maana ss tunakumbuka hiz mambo n za enz hzo
Nashindwa kuelewa hili tatzo tokea nko darasa la tano mwaka 2004 nasikia migogoro ya wafugaji na wakulima lakini kabla sijaenda mbali nini maana ya Morogoro yawezekana hili tatizo lilkuepo tokea enzi hizo ndo maana ikaitwa Morogoro au?
Maoni yangu ni hayo nadhani wafugaji ndio wanawafuata...
Nchi yetu inapinga sana swala la ushoga imeshindwa nn kuwaadabisha wanaofanya vtendo hv ambavyo s utamaduni tokea dunia inaumbwa? Nitoe maoni kila sehm najua Kuna baloz, m/kit wa mtaa, Afisa m/kata/mtaa, Diwani, mbunge, kamati y vyombo vya usalama halafu m/kit...
Za asubuhi wakubwa,
Naanza kuuliza hivi wazee waliwezaje kuishi kwa mila na desturi? Maana siku hizi mila na desturi hamna kabisa, heshma hamna, ajulikani mkubwa na mdgo ni yupi. Swala la mavazi huko ndo useme Dar wa nakwambia joto vipi zamani kulikuwa hakuna joto?
Mikoani wanaiga akiingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.