Wazee wetu waliwezaje kuishi kwa mila na desturi? Sisi tumeshindwa

manock

Member
Nov 7, 2016
97
37
Za asubuhi wakubwa,

Naanza kuuliza hivi wazee waliwezaje kuishi kwa mila na desturi? Maana siku hizi mila na desturi hamna kabisa, heshma hamna, ajulikani mkubwa na mdgo ni yupi. Swala la mavazi huko ndo useme Dar wa nakwambia joto vipi zamani kulikuwa hakuna joto?

Mikoani wanaiga akiingia kidogo anabadilika mpaka anataka kukuzidi wewe ambae ulimleta au kakukuta. Kingine wazazi mko wapi watoto wanavaa nguo ambazo hazistahili mnawaona hila mnajifanya hamnazo kumbuka wewe mzazi ulimtangulia mwanao una wajbu wa kumuendo ipasavyo ifike mahali tubadilike, tumuogope mungu.

Sikia hii sasa, eti mama anavaa hereni, wigi, anapaka lipstick. Dada nae anafanya. Cha kushangaza kaka nae anafanya tutajibu nini siku ya kiama ni hayo tu from kyanshenge village in [HASHTAG]#muleba[/HASHTAG].
 
Wazee waliweza kuishi Kwa mila Kwa sababu utandawazi haukuwepo
Swala LA mavazi sio Dar tu mikoa YOTE maadili tena hayapo
Mtoa Maada wewe ni mzawa WA Dar nini na Nani huyo ulimleta Dar MBONA Dar wengi ni wakuja
Wazazi hawana LA kufanya na wenyewe hasa WA mjini wanevurugwa wanashindana na Watoto kuendana na life style
Makaka poa nao wanzidi kuongezeka sijui kama itafika mahali tutabadilika
 
Back
Top Bottom