manock
Member
- Nov 7, 2016
- 97
- 37
Watu wanalalamka eti hali ya maisha magumu mbona Tanzania haijalalamika kuwa haina hali mbaya, mbona humu jamii hamna omba omba kila siku si mnakula, vocha mnaeka mbona hamlalamiki badala kununua chakula unanunua vocha eti hali ngumu. Ahsante mkulu ilifikia mahala hata muuza nyanya anajigamba sh400.4rm Muleba hmland.