Jamani mwenyewe nashangaaa toka mwezi wa saba nimepeleka ombi langu la paspory nilipata kazi huko dubai..imefika hatua mpaka taasisi iliyokuwa ikiniitaji imekata tamaa...inamaana naelekea kukosa kazi. Nchi yang ktk suala la ajira ndo kwanza inaanza kukusanya mapato. Tufanyeje sisi kumbe tatizo...
Habari wana JF na serikali yangu, kwa kawaida serikali ya Tanzania imechukulia kama suala la raisi kuongoza nchi kwa miaka kumi kama mfumo rasmi.
Na imekuwa ikipoteza fedha nyingi katika maandalizi ya uchaguzi mkuu hasa wabunge na rais na matokeo yake hakuna mabadiliko yoyote badala yake ni...
Ni sawa sipingani na mawazo yenu lkn siri ya kuwa mfatiliaji bora sikuzote umsikiliza hata kichaa kwan kuna muda anaweza kuongea point.. na sio kwamba vyombo vyetu hawezi kutoa habari nzuri ila ni mfumo wa mahala vilipo na itikadi za kisiasa zilizotawala taaluma yao, na hata wale mnaowaamini...
Habari ndugu zangu.
Tunafaham kuwa ni siku chache tu tetemeko la ardhi limetokea mkoa wa kagera na kuathiri maeneo mengi hasa manispaa ya bukoba.
Na siku kadhaa kabla ya tetemeko tukio la msimu wa fiesta lilipita mkoani humo,wasanii weng waliona jinsi gani wanapendwa na mashabiki zao baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.