Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,382
- Thread starter
- #21
Unpoteza muda kusikiliza visivyo na maana.Ni sawa sipingani na mawazo yenu lkn siri ya kuwa mfatiliaji bora sikuzote umsikiliza hata kichaa kwan kuna muda anaweza kuongea point.. na sio kwamba vyombo vyetu hawezi kutoa habari nzuri ila ni mfumo wa mahala vilipo na itikadi za kisiasa zilizotawala taaluma yao, na hata wale mnaowaamini kuwa wanatoa taarifa bora chimbuko lao ni huku.