Naomba mnisamehe kwa matusi niliyowatukana sio mimi ni mahaba

Daah kwahiyo wewe na manzi ako wambea? Mnacheza "Umoja ni Nguvu" afu eti mnatukumbuka?
 
Kama hujawahi kusikia unanga ndo huu.Et jitu zima unaambiwa utukane na ww unakubali!! Je ungemtukana jirani yako ungeenda kumuomba msamaha kama ulivyo fanya hivi au ndo ile mnaanza kutegana michongoma na kuweka fence kwenye nyumba ya kubanga.Mkuu uwe unafikiri mara mbili kabla ya kufanya maamuzi "akili ya kuambiwa changanya na yako......''Jk Mrisho.
 
Nyege bwana raa sanaaa wewe alienjanjuwana huwa anaugulia maraha moyoni mwepes mpaka akilin wala hasemi
 
OwE0Q_s-200x150.gif
 
jf niliyoikuta 2010 iko tofauti na ya 2016
Ubora wa elimu umeshuka pia unategemea nini. Tatizo na upepo umetupeleka kufuatilia quantitative badala ya qualitative measures kwenye kuangalia ubora wa elimu nchini. Jana mkuu wa kaya nilimsamehe kwa kuwa sio speciality yake alipoanza kusema na shule za maeneo Fulani sio za private zimeshika nafasi ya kwanza. Anyway swali la kujiuliza competencies and qualities za hao graduates as compared to 1990's are still the same or not.

Kama mtu ambaye kashabalehe leo anaweza andika upuuzi kama huu kwenye Jamvi la great thinkers, ujue kuwa hili jukwaa sio tena la greater thinkers tu bali ni kila mtu mwenye ujuzi wa kutumia smart phone yumo humu. Anyway, hii ndio nchi yetu
 
Nasikia wale wa Pure Arts wamebakiza mtihani mmoja na wanamaliza J3,inawezekana huyu akawa miongoni mwao.
 
Back
Top Bottom