Majibu sahihi juu ya sauti za milipiko dar

hafidh ayoub

Member
Sep 15, 2016
20
4
Msiwe na wasi wasi watanzania...tuko salama na ulinzi wa kutosha hizo ni fataki tuu wala sio mabomu....kuweni na amani
 
ila tangazo umechelewa kutoa
Wanaume wa Dar wameshakimbia mabaa sasa wapo vyumbani wamejificha
Mmeshaharibu starehe zao
 
Back
Top Bottom