Search results

  1. nnunu

    Nawashukuru sana wana jf kwa........

    Habari wana JF wote, Naomba nitoe shukurani nyingi sana kwa wanajf wote walionipa ushauri kuhusiana na thread yangu niliyoanzisha hapa kuomba ushauri wa nn cha kufanya baada ya kupata dv 4 ya point 18(form 6). Nilikata tamaa sana, nilivunjika moyo kwa kiasi kikubwa sana, lakin NAWASHUKURU SANA...
  2. nnunu

    Nimechanganyikwa naomba mawazo yenu wanajf wenzangu.

    NAHISI DUNIA IMENIGEUKA, muda wangu wote,juhudi zangu zote,ndoto zangu zote, maisha yangu yote naona kama ndiyo yamefikia mwisho. Nilifanya mtihani wa kidato cha sita kama private candidates, lakin NIMEFELI nina Dvn four (4) ya 18,GS-s,hst f, kisw -D,na eng f. ndoto za kwenda chuo kikuu...
  3. nnunu

    Je mwanaume mchoyo na bahili anafaa kuwa mume???.

    NINA RAFIKI YANGU WA KIKE NI MFANYAKAZI ANAOMBA USHAURI KATIKA HILI. ANA RAFIKI YAKE WA KIUME WANA UHUSIANO KWA MUDA WA MIAKA 9. SASA HIVI MWANAUME ANAMWOMBA AMUOE , ILA MWANAMKE AMEKATAA NA AMEMWAMBIA SABABU YA KUKATAA, ILA JAMAA AMEMWAMBIA BADO ANAMPA MUDA WA KUFIKIRIA ZAIDI LABDA ANAWEZA...
  4. nnunu

    Mwanafunzi wa darasa la kwanza anastahili hivi ?????.....

    Habari ndugu wadau wa elimu, samahani naomba ufafanuzi katika hili, mtoto wa darasa la kwanza kweli anatakiwa kufundishwa haya yote kwa umri wa miaka 6-7 alionao? 1-kiswahili 2-english 3-mathematics 4-science 5-reading 6-v/skills 7-pds 8-spelling je katika umri huo ataelewa vizuri masomo...
  5. nnunu

    Dawa ya vipele kwenye ngozi

    Habari?, Samahani naomba niambiwe tiba ya vipele kwenye ngozi kwa mtoto au doctor bingwa zaidi wa magonjwa ya ngozi kwa watoto. Nimezunguka kwa madoctor wengi sana hapa ,mfano agakhan,tmj,tumaini,Dr hammeir,Dr ndodi na amepimwa vipimo mbalimbali hajaonesha kama ana tatizo lolote. Kwenye...
  6. nnunu

    Dispensary hii imesajiriwa?

    Dispensary hii iliyopo ndani ya kota za nssf kinyezirezi je imesajiriwa?. Ni mojawapo ya hizi kota, upande wanaishi familia hiyo, then upande ndiyo wamefanya dispensary. Huduma inaendelea kama kawaida ila wasiwasi wangu ni je inakidhi kweli viwango? Hasa suala la usalama na usafi, je wahudumu...
Back
Top Bottom