Search results

  1. sonofdory

    Ndani ya uanaume: Mambo 3 yanayoiongoza akili ya mwanaume

    As long as wewe ni mwanaume, bado uko mule mule. [emoji28]
  2. sonofdory

    Ndani ya uanaume: Mambo 3 yanayoiongoza akili ya mwanaume

    Ukimuuliza mwanamke yeyote ni aina gani ya mwanaume anayemhitaji, unaweza kukutana na majibu kama vile, mpole, mcheshi, mwenye uwezo wa kunihudumia na anayenipenda kama ninavyompenda mimi. Wakati haya yote yanaweza kuwa sahihi isipokuwa kigezo cha mwisho hapo juu, namna ambavyo wanaume...
  3. sonofdory

    Shirati College of Health Sciences

    Wanajamvi, kama kuna mtu mwenye kufaham juu ya chuo hiki tafadhali nahtaji msaada, Nipo Dar sasa ila Nimechaguliwa hapo. Kwenye web sikipati,simfaham yeyote alichaguliwa hapo na sina hata info yoyote from the college. Msaada tafadhali... Mawacliano yangu ni 0744186882
  4. sonofdory

    My first boyfriend

    Yuko mwanza huyu.
  5. sonofdory

    Kaapply CERTIFICATE badala ya DIPLOMA kimakosa! Namsaidiaje?

    Ahsanteni sana wanajamvi.. Kweli JF ni kisima cha uhuru!
  6. sonofdory

    Kaapply CERTIFICATE badala ya DIPLOMA kimakosa! Namsaidiaje?

    Wakuu nko na rafika yangu amefanya application NACTE jumamosi. Yani sasa hvi amenipigia simu kanambia kua alijaza CERTIFICATES badala ya DIPLOMA na deadline ya kuapply ni leo usiku... Tusaidiane mawazo ya haraka wakuu tumsaidie.., inakuaje hapo!?
  7. sonofdory

    Kizungu zungu cha mapenzi

    Huyo aliekuwa naye wakati anakutema ww yuko wapi sa hvi!!? Tatizo siyo kulalamika...!! Tatizo ni kwamba: wewe utamwamini tena kama ulivokua ukimwamini mwanzo?? Bila shaka jibu ni HAPANA, na kama ni hivo basi utajikuta unaingia katika uhusiano wenye mashaka, kutojiamini na hofu, jambo ambalo siyo...
  8. sonofdory

    Kizungu zungu cha mapenzi

    Anakupima tu huyo.. ukidissolve tu inakula kwako!
  9. sonofdory

    Kizungu zungu cha mapenzi

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] ! Sorry.
  10. sonofdory

    Kizungu zungu cha mapenzi

    Hahahaa!! Ila aangalie acje maliziwa boom kisha[emoji23] atemwe tena!
  11. sonofdory

    Kizungu zungu cha mapenzi

    Ila bana kaka uliekutwa na mkasa kama wangu... fikiria mwenyewe. Hapo me sioni kama kuna haja ya sisi kukwambia kama huo upendo wake ni wa.kweli au la. Kila kitu kiko wazi....!
  12. sonofdory

    Kizungu zungu cha mapenzi

    [emoji1] [emoji1] Labda huyo duu n mputee!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  13. sonofdory

    Kizungu zungu cha mapenzi

    All thanks to God bro! Haya mambo bana ukiyakurupukia utaishia kulala kwenye mikeka na huku hao wa kwenye tamthilia unaowaiga wanakula bata tu yani!
  14. sonofdory

    Kizungu zungu cha mapenzi

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  15. sonofdory

    Kizungu zungu cha mapenzi

    Mimi story yangu iko kama yako EXACTLY. Sema yeye naye kafaulu kama mimi....! hanitafti. Tunapishana tu kwenye group la whatsapp la schoolmates. Kaushia tu blaza muda wa kazi huu "Mapenzi yatakutafta, sio wewe utafute mapenzi" mimi nimekaushia tu sa hivi life goes on!
  16. sonofdory

    Hii ndio Tanzania mpya, Elimu yetu.

    This is very concious mkuu!! Inakatisha tamaa kabisa yani.
  17. sonofdory

    Msaada wa WhatsFapp WhatsApp plus

    Nitumieni kwenye massatuluckie@gmail.com
Back
Top Bottom