Search results

  1. Dio

    Kanisa Katoliki lagoma kumzika bilionea wa Ngurudoto

    *_Anaandika Bernard Mukasa_* UFAFANUZI KUHUSU KANISA KATOLIKI KUTOKUWAFANYIA MAZIKO YA KIKANISA BAADHI YA WAAMINI WAKE: Jana mitandao ya kijamii nchini ilienea habari za kanisa kutokumzika tajiri mmoja kwa sababu alikufa katika hali ya "kinyumba" bila ndoa takatifu, na kwamba hakuwa mshiriki...
  2. Dio

    Msaada: Sauti kwenye Laptop

    Poa poa mkuu
  3. Dio

    Msaada: Sauti kwenye Laptop

    asante ukiweka earphone inasikika kwenye volume hakuna X Ant virus ninayotumia ni kaspersky
  4. Dio

    Msaada: Sauti kwenye Laptop

    Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale, Naomba msaada kwa mwenye ujuzi laptop yangu aina ya dell, imekata sauti gafla nashindwa kuelewa tatizo limetokana na nini. Msaada tafadhali
  5. Dio

    Original Transcend External Hdd for sale ikiwa na movie ZAIDI YA MIA MOJA

    100k nitafute tufanye biashara
  6. Dio

    Utumiaji wa GNLD na Forever Living products ni hatari?

    bidhaa hazina madhara kiukweli alafu ni mfumo mzuri wa kujiajiri tena unaifanya kwa muda wako wa ziada,mimi naifanya kwa muda wangu wa ziada,na naingiza kipato kizuri unaweza kunitafuta kwa maelezo zaidi au kama una whatsapp nicheck hapa ili nikupatie baadhi ya videos zinazofundisha...
  7. Dio

    How to Distinguish entrepreneurship from an entrepreneur

    Naomba mwenye uelewa wa swali hili anisaidie Distinguish entrepreneurship from an entrepreneur.
  8. Dio

    Msaada wahitajika: Distinguish Entrepreneurship from an Entrepreneur

    Wapendwa natumaini mko salama, Kuna mdogo wangu kaulizwa swali kashindwa kulielewa, sasa kaniletea mimi na kwangu limekuwa gumu, nikaona nililete hapa kwa wadau mtanisaidia; ''Distinguish Entrepreneurship from an Entrepreneur'' - Ndio swali lenyewe..
  9. Dio

    Hot story

    ya 73 mbona haipo kule kijana
  10. Dio

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    mwananyamala huku ukawa wanaongoza kata 3 kati ya 7 bado 4 wanahesabu kura
  11. Dio

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    John Mnyika Mitaa tuliyoshinda: mwanga mtaa wa Lwami CHADEMA 55, CCM 35 Mererani CHADEMA imeshinda mitaa 7 kati ya 8 Endulele kitongoji CHADEMA 170, CCM 130 Tuendelee kuhabarishana matokeo ya kila sehemu.
  12. Dio

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Oy VP majembe
  13. Dio

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    SOMA MAJINA YA WALIOKULA FEDHA ZA AKAUNTI YA ESCROW KATIKA RIPOTI YA PAC INAYOSOMWA SASA BUNGENI. Zitto: Upande wa viongozi wa kisiasa ambao waliingiziwa fedha katika akaunti zao binafsi ni; Mhe. Andrew Chenge (Mb) Zitto: Andrew Chenge aliingiziwa shilingi bilioni 1.6. Zitto: Mhe...
  14. Dio

    Hot story

    naomba unipatie sehemu ya tano mbona haipo jamani
  15. Dio

    Anapataje updates za group la Whatsapp mbalo hajajiunga ?

    Hii mobile spy .buz inakuwaje?
  16. Dio

    Anapataje updates za group la Whatsapp mbalo hajajiunga ?

    Asanteni sana wadau kwa maelezo yenu
  17. Dio

    Anapataje updates za group la Whatsapp mbalo hajajiunga ?

    Habarini washikadau wangu wa nguvu, naomba kuuliza kuna uwezekano wowote mtu kufuatilia mambo yako unayochat kwenye groups mbalimbali kupitia kwenye email yako, ikiwa anaifahamu na password. Kwa kifupi kwenye group hayupo,lakini ananiambia kila kitu kinachoendelea kwenye group,hyo inawezeka? au...
  18. Dio

    Hadithi tamu: Hisia zangu

    mkuu fanya kama umesahau iwe kila siku bwana
Back
Top Bottom