Hot story

Hahahahaha!!! Atleast nyie ni mwanaume mmoja ndo anafanya hayo, duh kuliko sisi kila mahali wanawake ndo wanajirahisisha kwa Eddy.

Hahahahaha hata hivyo czani ki uhalisi kama kuna mwanamke mwenye akili timamu akawa so simple ki hivyo kama kina rahma.mama fatty, madam zena na Recho, madam Mary na rukia, nk.hao ni wanawake walio katika ulimwengu Wa kufikirika tu!
 
Kaka uwe unabadilisha jina la stering wa kiume majina ni mengi siyo lazima aitwe Eddy!.inaniletea mkanganiko ktk kumbukumbu
 
Ingawa hi story ni tanga raha lakini punguza kidogo mikasa wa kugongana gongana inaondoa uhalisia fulani,sasa huyo eddy leo katupia kesho anatupia kesho kutwa napo anatupia sa zngne kwa siku mara 2 amekuwa 'kuku'
 
We jamaa unatisha knoma nimecheka sana eddy alivofumwa na salome anakula nyeto chumbani kwa madam mary
 
Hahahahaha hata hivyo czani ki uhalisi kama kuna mwanamke mwenye akili timamu akawa so simple ki hivyo kama kina rahma.mama fatty, madam zena na Recho, madam Mary na rukia, nk.hao ni wanawake walio katika ulimwengu Wa kufikirika tu!

Hawa wanawake wako wengi sana bro wako vyuoni, maofisini, mashuleni mtaani ndo wa kumwaga sana labda we so mzee wa totoz
 
Sasa Eddy ndo kafa au vipi panga alilopigwa lilimpata au kaokolea
Wallah ningejua inaishia nusu nisingesoma nimekesha usiku nikisoma afu inaishia kati pambaf....
 
Nyota kama ya eddy siitaki mwanaume kila anapokanyaga mkosi.
Kweli sterling auwawi
 
Sasa Eddy ndo kafa au vipi panga alilopigwa lilimpata au kaokolea
Wallah ningejua inaishia nusu nisingesoma nimekesha usiku nikisoma afu inaishia kati pambaf....

Hii story imeisha season 1 na Sasa ipo season Ya pili nadhani episode ya 3!!nililike page yake Facebook ndo inaendelea huko!!
 
Back
Top Bottom