Search results

  1. mikati

    Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    Yule dada mwingine Mtanzania ametoka wapi? Yule alieanguka jana...Utulivu wake ni zero kabisa.
  2. mikati

    Tanzania hatuwezi kuendelea kwa utaratibu huu.

    Waziri wa Uchukuzi Bw Omari Nundu ameunda kamati ya kuchunguza ni kwa nini hali ya usafiri wa anga inaendela kudororora. Hili ni jambo zuri ambalo Nundu ameamua kufanya. Kamati hii inaongozwa na Mama Magret Munyagi, aliyekuwa mkuu wa usafiri wa anga kwa takribani miaka 11 hivi. Mama huyu...
  3. mikati

    Tanesco yatangaza mgawo wa umeme nchi nzima

    Mimi ninaomba kuwauliza Watanganiyika....Huu mgao wa umeme wasababishwana nini hasa? Ninakumbuka katibu Mkuu alisema ni power station kipawa...Njelejaakasema mvua zimeanza kunyesha hivyo mgao unaisha ..Mpaka leo bado mgao upo..Je sasa hivi sababu ya kutokuwa na umeme ni ipi hasa???
  4. mikati

    Vyombo vya Usalama vya Misri VS Vyombo vya usalama Tanzania

    Haya ni mambo ambayo inabidi wananchi tuyakumbuke na kuyazingatia...Huu ni mfano wa jambo moja kubwa ambalo linawaaumiza wananchi wengi kwani vyombo vya umma ie polisi imekuwa ikikandamiza sana wananchi...Tuaomba hili lichambuliwe vyema kwenye katiba mpya
  5. mikati

    UDSM KUMSHTAKI Ephraim Kibonde;

    Wasomi was UDSM, wanati mnapoandaa kudarafuti mashitaka yenu, ninawaomba msiache kuijumulishia clouds FM kwenye hiyo kesi.....Hapo ndipo patakuwa patamu zaidi..Since its clouds FM iliyotangaza.
  6. mikati

    Upande wa pili wa Edward Lowassa

    For this one, I for one ninamfagilia White Hair kwa hili..he can make decision...regardless of the outcome but amekuwa akifanya maamuzi.....Mnyonge mnyongeni ilahaki yake mpeni
  7. mikati

    Matamshi ya Makamba yanakera

    Walipa kodi, mwacheni huyu Mzee wa watu...hata mwanae januari makamba alimuomba asiende kwenye jimbokumsaidia kupiga kampeni kwa kuwa alikuwa anajua atamharibia....Hivi wakumbuka alisema yeye hakuzaa wala kulea mbumbu..mtoto wake shurti awe waziri??? Kumbe waziri to be mwenye ni mtaalam wa...
  8. mikati

    Matokeo ya form IV against tangazo la TBC

    TBC walichakachua wakatangaza kuwa matokeo ya form iv ni mazuri kuliko ya mwaka jana. Ukwli ni huu hapo chini..Je TBC mnawaambia nini walipa kodi? Je habari zote mnazotangani walipa kodi wazihakiki kivipi? MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2010 DARAJA WANAFUNZI % I 5,363 1.51%...
  9. mikati

    Vyombo vya Usalama vya Misri VS Vyombo vya usalama Tanzania

    Vyombo vya usalama vya wananchi wa Misri vimesema haviwezi kuzuia wananch wake kufanya maandamano na vimetukuwa vikilinda amani. Vyombo vya Ulinzi vya Tanzania vi kwa ajiliy ya wananchi au kwa serikali iliyopo Madarakani kama enzi za mkoloni??
Back
Top Bottom