Vyombo vya Usalama vya Misri VS Vyombo vya usalama Tanzania

mikati

Member
Jan 27, 2011
9
0
Vyombo vya usalama vya wananchi wa Misri vimesema haviwezi kuzuia wananch wake kufanya maandamano na vimetukuwa vikilinda amani. Vyombo vya Ulinzi vya Tanzania vi kwa ajiliy ya wananchi au kwa serikali iliyopo Madarakani kama enzi za mkoloni??
 
Vyombo vya usalama vya wananchi wa Misri vimesema haviwezi kuzuia wananch wake kufanya maandamano na vimetukuwa vikilinda amani. Vyombo vya Ulinzi vya Tanzania vi kwa ajiliy ya wananchi au kwa serikali iliyopo Madarakani kama enzi za mkoloni??

Shimbo na Mwema wanaweza kujibu?
 
Nafikiri kilicho wakuta Misri ni kua kilamtu amechoka na hata hivyo vyombo vya usalama nao wamechoka . Ipo siku itakua hivyo kilamtu atakua amechoka na hakutakuana wakumzuia wingine. Uzuri tunapenda amani sana lakini kwani mtu ange kwambia Misri wange fanya hivyo ingekua nivigumu kuamini. Tumwombe mungu serikaliyetu ibadilike
 
Vyombo vya usalama vya wananchi wa Misri vimesema haviwezi kuzuia wananch wake kufanya maandamano na vimetukuwa vikilinda amani. Vyombo vya Ulinzi vya Tanzania vi kwa ajiliy ya wananchi au kwa serikali iliyopo Madarakani kama enzi za mkoloni??
Vyombo vya usalama vya Tanzania ni kwa ajili ya mafisudi, ndio maana utaona kuteteana kunaanzia , kwa Shombo, inakuja kwa Woroma, halafu Mwema kwa kidogo nae kapotoka kwa tukio la halusha/arusha, halafu atakuja kikawe, nk
 
Jeshi la Misri limetoa somo jipya kwa majeshi ya Afrika yanayofikiri kuua raia wao tena wasio na hatia ni jambo kifahari! Abrahaman Shimbo na Said Mwema mmeisoma hiyo ya Misri?
 
Tofauti kati ya vyombo hivi ni kwamba vya Misri vinaongozwa kwa fikra zilizo huru wakati vya TZ vinaongozwa kwa fikra za kitumwa!
 
Hata mie ushangazwa sana na vyombo vya usalama vya Tanzania hasa police na Hivi majuzi Jeshi (Shimbo). Maswali mengi ninayojihuliza ni kama haya:
1) Hivi police wa Tanzania utumia akili ya kawaida ktk maamuzi yao? Najihuliza hili kwasababu hainiigii akilini police kusimamia na kulinda kwa hukali sana pale inapoonekana wazi wananchi wakiandamana kudai haki zao za msingi.

2) Maamuzi ya kunfyatulia risasi raia asiye na siraha utoka wapi? na anayetekeleza maamuzi hayo akili zake huwa zikoje?

Uchunguzi wangu wa hivi karibuni unaonesha:
1) Wanaelimu ndogo-hivyo ni rahisi kuchukua maamuzi yoyote hata kuhuwa pasiposababu za msingi

2) Wengi uvuta bangi-hata kama ni vigumu kupata ushaidi

3) Hivi karibuni nimeona vijana wadogo sana jeshini/polisi. Si hajabu hawa wamekulia line Police hivyo upana wao wa kufikiri ni ndogo sana.

4) Hakuna sheria za kuwabana na hata kama zipo utekelezaji wake mdogo

Solution: Hitakuwa vigumu kwa wakati huu jeshi ilikubadirika mbaka hapo ELIMU yao itakapotiliwa maanani; pili wananchi watapoamua kama ilivyo misri-baada ya dhiki nyingi (sijui lini-hope it will be soon)
 
Polisi wa tz hawafikiri wala kuamua wanatekeleza amri period, wanatumia akili ya kumbiwa za kwao ziko bank , wanapiga raia bila kujali ni ndg zao .
 
Haya ni mambo ambayo inabidi wananchi tuyakumbuke na kuyazingatia...Huu ni mfano wa jambo moja kubwa ambalo linawaaumiza wananchi wengi kwani vyombo vya umma ie polisi imekuwa ikikandamiza sana wananchi...Tuaomba hili lichambuliwe vyema kwenye katiba mpya
 
Back
Top Bottom