Matokeo ya form IV against tangazo la TBC

mikati

Member
Jan 27, 2011
9
0
TBC walichakachua wakatangaza kuwa matokeo ya form iv ni mazuri kuliko ya mwaka jana. Ukwli ni huu hapo chini..Je TBC mnawaambia nini walipa kodi? Je habari zote mnazotangani walipa kodi wazihakiki kivipi?

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2010



DARAJA WANAFUNZI %
I 5,363 1.51%
II 9,942 2.81%
III 25,083 7.08%
IV 136,633 38.59%
0 177,021 50.00%
354,042 100.00%

Jumla ya waliofaulu (Daraja la I mpaka III) 11.41%

Jumla ya wenye Daraja la IV na wasio na Daraja: Yaani "ZERO" 88.59%
 
Back
Top Bottom