Search results

  1. kush moker

    Naomba ushauri wa ufugaji wa ng'ombe

    Habari za wakati huu wanajukwaa. Ninataka kufanya ufugaji wa ng'ombe wenye tija ila niko njia panda kuhusu wapi kuna faida zaidi kati ya kufuga ng'ombe dume au majike. Nilihitaji kuanza na ndama watatu ambao sio wale wa kienyeji kabisa bali chotara kiasi. Hapa nipo njia panda nichukue ndama...
  2. kush moker

    Kwa yeyote aliewahi au anaefanya biashara ya mkaa naomba mwongozo

    Kwa yeyote aliewahi au anaefanya biashara ya mkaa naomba mwongozo tafadhali.
  3. kush moker

    Roho ya kukataliwa

    Wasalaam wanaJf, Kama kichwa kinavyojieleza ninahiasil kama nina karoho flani ivi cha kukataliwa na kutokukubalika na watu wanaonizunguka kwani kina mda najiona kama mimi ndo najipendekeza zaidi kwa watu. Hii hali naiona sasa kama inazidi na inanikosesha amani kiasi fulani. Je,kuwa katika...
  4. kush moker

    Kwa matokeo haya naweza kujiendeleza na kozi gani?

    Habari wanajukwaa,mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 kwa matokeo haya: Civics -C History - C Kiswahili -C Geography -B Biology - D Math's- F English-F Nilikua na mpango wa kujiendeleza zaidi kielimu wakati huo ila ya Mungu mengi hivyo nikasoma ualimu msingi na kuajiriwa 2018...
  5. kush moker

    Msaada wa ushauri kuhusu TV aina ya HISENSE

    Wakuu nataka kuchukua mzigo huo apo, Je iko vizuri kwa waliowahi kuzitumia??
  6. kush moker

    Kuna aliyewahi kufanya biashara na Kariakoo Mall?

    Wakuu kama kichwa kinavyojieleza,naomba kujuzwa zaidi aliewahi kununua bidhaa kwao je ni za uhakika na ubora kama zinavyotangazwa?! Nimeona matangazo yao Instagram
  7. kush moker

    Msaada wa Computer yangu

    Wakuu, hizi task bar sielewi nini kimetokea computer haipo katika hali yake ya kawaida. Msaada wenu tafadhali CHIEF MKWAWA kcamp
  8. kush moker

    Mwanaume anaefanya haya namuona si rijali

    Mwanaume uliekamilika huwezi kufanya haya popote nikikuona najua una vinasaba vya 'ushoga' 1. Mwanaume kupaka super black 2. Mwanaume kuchora tattoo 3. Mwanaume kuvaa suruali kama ya dadaako 4. Mwanaume kutoboa sikio 5. Mwanaume kuchekacheka ovyo 6. Mwanaume kutuma meseji umeandika...
  9. kush moker

    Msaada

    Kwema wakuu,, Nahitaji kamsaada kadogo hapo pichani niweze kuziona apps/software maana baada ya kuja hivyo vi 'menu' nilivyovizngushia duara nashindwa kuupenda mwonekao w pc NB;sina utaalamu wa computers.msinicheke Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kush moker

    Natafuta pikipiki aina ya kibao cha mbuzi

    Natafuta pikipiki aina ya kibao cha mbuzi.. Weka na bei alienacho
  11. kush moker

    Ushauri

    Wakuu. Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu maeneo ya mkoa wa pwani,kama bagamoyo mpaka msata hayo maeneo kilimo cha maharage kinakubali huko?
  12. kush moker

    msaada

    wadau kwema??nimeng'atwa na n'ge mida hii,,na nimethibitisha baada ya kumuua,,nasikia maumivu makali sana maana ameniuma mkono wa kushoto,huduma ya kwanza ni ipi nijisaidie?? ________________________________________________________________________________________________________ wakuu nimerudi...
  13. kush moker

    Msaada

    Wakuu kwema..naulizia usafiri wa kufika mkoa wa mara maana sijawahi kusafiri eneo lolote la kanda ya ziwa
  14. kush moker

    MSAADA

    WAKUU kwema?? Ni wapi naweza kupata touch ya SAMSUNG Z2
  15. kush moker

    Tv inauzwa inch24

    Samsung inch24 led pamoja na remote yake. Inasupport; Usb Hdmi Bei 270 top ni PM.
  16. kush moker

    Godoro dodoma inchi 8 linahitajika

    Elfu themanini(80) godoro dodoma lililotumika linahitajika Sent using Jamii Forums mobile app
  17. kush moker

    VINAUZWA:SAMSUNG SMART TV,FRIDGE NA AC

    1.Samsung smart tv 3D LED model no UA46ES8000 *INCH46 pia na accessories; *bluetooth hub *Remote 2 smart & ya kawaida *4 3D glasses Bei 2.5m fixed 2.FRIDGE YA SAMSUNG 3.Ac Sent using Jamii Forums mobile app
  18. kush moker

    NATAFUTA

    natafuta deck ya hometeathre
  19. kush moker

    Vitu vya ndani vinauzwa

    Tv,dec,kingamuzi,subwoofer pamoja na meza yake 340000sh
  20. kush moker

    Nauza simu samsung galaxy j2

    Simu tajwa hapo juu inauzwa wadau ina crack kidogo kwenye kioo cha juu,haina tatizo lolote. Bei 150000sh Maongezi yapo!
Back
Top Bottom