Roho ya kukataliwa

kush moker

JF-Expert Member
Feb 11, 2016
579
367
Wasalaam wanaJf,

Kama kichwa kinavyojieleza ninahiasil kama nina karoho flani ivi cha kukataliwa na kutokukubalika na watu wanaonizunguka kwani kina mda najiona kama mimi ndo najipendekeza zaidi kwa watu.

Hii hali naiona sasa kama inazidi na inanikosesha amani kiasi fulani.

Je,kuwa katika hali hii kuna uhusiano gani kiimani na kiroho?

Karibu kwa ushauri.
 
Usijiwazie negative maana maandiko ya biblia yanasema UKIONACHO ROHONI MWAKO NDICHO KITAKACHOKUJILIA....chunga Sana moyo wako maana ndiko kutokako chem chem ya uzima ..Hivyo Anza kujikubali mwenyewe na wengine watakukubali, jipende mwenyewe na wengine watakupenda ..
 
Wasalaam wanaJf,

Kama kichwa kinavyojieleza ninahiasil kama nina karoho flani ivi cha kukataliwa na kutokukubalika na watu wanaonizunguka kwani kina mda najiona kama mimi ndo najipendekeza zaidi kwa watu.

Hii hali naiona sasa kama inazidi na inanikosesha amani kiasi fulani.

Je,kuwa katika hali hii kuna uhusiano gani kiimani na kiroho?

Karibu kwa ushauri.
Jinyonge
 
Acha kujipendekeza
 
Upo kwenye circular loop...Na hujui Nani chanzo?
Wewe kutojikubali ndo kumefanya watu wasikukubali?? Au watu kutokukubali ndo kumekufanya usijikubali?
 
Roho ya kukataliwa inaanza na Wewe mwenyewe kujikataa/kujikinai kuona kama hauwezi Kila jambo ni ibilisi anakutengenezea hiyo Hali, namna unavyojiona ndivyo jamii nayo inavyokuona, jikubali, kubali Hali uliyonayo au unayopitia
 
Uhalisia kuwa hukubaliki haupo isipokuwa hisia ulizonazo zinakusumbua, hali yako imetokana na malezi, makuzi, mazingira na watu wanaokuzunguka.

Tupo tayari kukusaidia utoke katika hali ya unayojisikia uweze kujiamini na kusonga mbele, karibu sana.
 
Why utake kukubalika kwa watu? Ishi maisha yako enjoy life miliki pesa uone machawa wanavyojileta. Kimsingi hakuna mtu atakushobokea kama hakuna atakacho nufaika nacho kwako na pia hali yoyote huwa ni ya mpito hakuna kinachodumu hivyo songa mbele mema mengi utakutana nayo mbele kwa mbele
 
Wasalaam wanaJf,

Kama kichwa kinavyojieleza ninahiasil kama nina karoho flani ivi cha kukataliwa na kutokukubalika na watu wanaonizunguka kwani kina mda najiona kama mimi ndo najipendekeza zaidi kwa watu.

Hii hali naiona sasa kama inazidi na inanikosesha amani kiasi fulani.

Je,kuwa katika hali hii kuna uhusiano gani kiimani na kiroho?

Karibu kwa ushauri.
matajiri hawana hizo roho za kijinga mkuu
 
Wasalaam wanaJf,

Kama kichwa kinavyojieleza ninahiasil kama nina karoho flani ivi cha kukataliwa na kutokukubalika na watu wanaonizunguka kwani kina mda najiona kama mimi ndo najipendekeza zaidi kwa watu.

Hii hali naiona sasa kama inazidi na inanikosesha amani kiasi fulani.

Je,kuwa katika hali hii kuna uhusiano gani kiimani na kiroho?

Karibu kwa ushauri.
Unataka ukubaliwe ili nini?Upendwe na kila mtu kwani wewe ni Pesa?

Iko ili ukubaliwe na watu lazima kwanza wewe ujikubali.Je unajikubali?Unajiamini?Unajipenda?Unajiheshimu?

Fanyia kazi hayo mengine uanakuja yenyewe
 
Mwanzoni nilikua napenda kuwaona watu wengi wakiwa na mimi,nikapata changamoto kikazi,wote wakala kona, nikajagundua kumbe hapendwi mtu, kinachpendwa ni kile alichonacho, Sasa hivi ukinipigia simu nitakupigia,usiponipigia nami sikupigii, Jikubali mwenyewe jipende, halafu ukikaa sana kwenye kundi la watu unafell kugundua mambo mengi uliyonayo maana mda wote utakuwa unasikiza story za watu wengine. Mwisho wa siku kila mtu ataondoka kwenye maisha yako hivyo jiandae kuwa smart kwa hali yoyote katika maisha.
 
Back
Top Bottom