Mwanaume anaefanya haya namuona si rijali

kush moker

JF-Expert Member
Feb 11, 2016
579
367
Mwanaume uliekamilika huwezi kufanya haya popote nikikuona najua una vinasaba vya 'ushoga'

1. Mwanaume kupaka super black

2. Mwanaume kuchora tattoo

3. Mwanaume kuvaa suruali kama ya dadaako

4. Mwanaume kutoboa sikio

5. Mwanaume kuchekacheka ovyo

6. Mwanaume kutuma meseji umeandika vifupisho visivyoeleweka

Yangu ni hayo Mengine ongezea......
 
Hawataki mvi
 
Siku ukikuta mkeo anazibuliwa mtaro utaelewa kuwa rijali hana mavazi wala sura! Utajifunza kuwa usimdharau mtu usiyemjua background yake.

Kuna jamaa nilikutana nae mwaka 2018, ukimuona unasema huyu anastahili kuitwa mwanaume kamili. Anafanya kazi ktik ofisi ya CAG. Akiwa katika harakati za kikazi, Young man 32yrs. Kimsingi ni mtu mwenye kukubalika na mwamke yeyote tu.

Tatizo: ANAFIRIMBWA

Swali kwako: Je kila mpaka super. Black, analamba mdomo, sio rijali?
 
Huenda Unafanya mojawapo kati ya hayo
 
Huenda Unafanya mojawapo kati ya hayo
Ni mtazamo wako, tu mkuu. Maoni yako hayana budi kuheshimiwa, katika kuheshimiwa kuna mambo mawili tu: moja yafanyiwe kazi; mbili, yaachwe kama ya livyo bila kufanyiwa kaI.

"Sio kila kuta zilizolpakwa rangi au chokaa ni ukuta, nyingine ni milango ya siri ya kutokea upande wa pili "
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom