Search results

  1. A

    MSAADA WA INSTALLATION SOFTWARE YA CANON PHOTOCOPY MACHINE (iR2016)

    habari wana jamii? Tafadhali mwenye software ya canon photocopy iR2016 anisaidie wandugu. Mimi nipo mtwara na nina hii machine nashindwa kuitumia. natanguliza shukrani zangu
  2. A

    Msaada wa jinsi ya kufanya setup ya internet kwenye laptop

    Wazee laptop yangu haina setup yoyote ya internet, yaani nikiunga network cable haitoi ishara yoyote kama imekuwa connected. Na nikienda kwenye my network places nakuta network za moderm tu na mimi nataka nitumie cable ya ofisini. Jamani tafadhali nisaidieni na hili. Nasubiri mtaalamu yeyote...
  3. A

    New barbershop equipment required

    Nashukuru sana kaka deo wa mikocheni saloon kwa kunisaidia namba za jamaa. Thank you mkubwa na mungu akubariki sana.
  4. A

    New barbershop equipment required

    Nashukuru sana ndugu. Una namba zao za simu ili niwapigie maana nipo mkoani kwa sasa. Nategemea kutoka kwako tafadhali.
  5. A

    New barbershop equipment required

    I need to open my new modern Barbershop in southern region of Tanzania. Please anyone who know where I can purchase all items including hydraulic master barber chairs, kiddie styling chairs, massage table, back wash shampoo unit, hydraulic facial table, aroma facial steamer, cutting stool...
  6. A

    Namtafuta david kupaza

    Wana JF habari? Naombeni wajemeni mnisaidie nimpate rafiki yangu Bwana David Kupaza. Nilisoma nae shule ya sekondari Usagara Tanga kuanzia mwaka 1995-1998. Baadae alijiunga high level na shule moja ya Morogoro siikumbuki vizuri lakini itakuwa ni hizi za seminari na pia alisoma chuo cha uhasibu...
  7. A

    Namtafuta rafiki yangu

    Wana JF habari? Naombeni wajemeni mnisaidie nimpate rafiki yangu Bwana David Kupaza. Nilisoma nae shule ya sekondari Usagara Tanga kuanzia mwaka 1995-1998. Baadae alijiunga high level na shule moja ya Morogoro siikumbuki vizuri lakini itakuwa ni hizi za seminari na pia alisoma chuo cha uhasibu...
Back
Top Bottom