Namtafuta rafiki yangu

amimo15

Member
Jan 10, 2011
7
0
Wana JF habari? Naombeni wajemeni mnisaidie nimpate rafiki yangu Bwana David Kupaza. Nilisoma nae shule ya sekondari Usagara Tanga kuanzia mwaka 1995-1998. Baadae alijiunga high level na shule moja ya Morogoro siikumbuki vizuri lakini itakuwa ni hizi za seminari na pia alisoma chuo cha uhasibu dar kuanzia mwaka 2003-2006. Kwa sasa sijui alipo na pia sijui nitampata vipi; Tafadhali wandugu kama kuna mwenye taarifa nae anijulishe kwa email yangu amimo15@hotmail.com au namba yangu ya simu 0715603603. Naombeni msaada wenu.
 
Back
Top Bottom