MSAADA WA INSTALLATION SOFTWARE YA CANON PHOTOCOPY MACHINE (iR2016)

amimo15

Member
Jan 10, 2011
7
0
habari wana jamii?
Tafadhali mwenye software ya canon photocopy iR2016 anisaidie wandugu. Mimi nipo mtwara na nina hii machine nashindwa kuitumia.
natanguliza shukrani zangu
 
habari wana jamii?
Tafadhali mwenye software ya canon photocopy iR2016 anisaidie wandugu. Mimi nipo mtwara na nina hii machine nashindwa kuitumia.
natanguliza shukrani zangu
Sasa hiyo photocopy unataka kuitumia kama printer au? ni pm nikupe maelekezo.
 
tumia kama photocopy haina kadi ya printer, ir2318 hii ina cadi waweza printi nayo
 
tumia kama photocopy haina kadi ya printer, ir2318 hii ina cadi waweza printi nayo
Mkuu hiyo photocopy unaweza ukaprint ndio ninayoitumia ofisini ndio maana nikamuuliza muhusika anataka kuitumia kama printer kwani you think software ya hiyo mashine ataifunga kwenye nini?
 
Ingia katika web site ya canon itafute hiyo photocopy mashine yako katika seach (ir2318) kisha download na kuinstall wakati umeifunga tayari katika computer yako utafanikiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom