Niliwahi sikia mzee ana ekari zaidi ya 200 huko Kihuluka (usiniulize ni wapi) lakini hajaendeleza hata moja na imepita zaidi ya miaka 10. Utamfanya nini[emoji144][emoji144]
Nyumba ni ya kawaida ila complicated! Nyumba ina vikorido vingi, so lazima tofali ziende nyingi. Vyumba nadhani ni vikubwa.... mfn. sitting room ya 5.00M.
Mkuu pole sana.
Uzito wako ni mkubwa?
Nashauri uende hosp ukafanye kipimo cha X-ray eneo la "femoral/pelvic joint". Bila shaka baada ya hapo utajua nini cha tatizo.
Nadhani mkuu hapa anamaanisha kunenepesha halafu auze. Ikiwa una hakika ya kupata vidume vingi kwa wakati mmoja (mf. 50 au 100) basi idea yako iko valid.
Tena unaambiwa miezi 5 iliyopita Lady Madonna alikuwa ana "date" na kijana wa 23 years old[emoji39][emoji39]
[emoji116][emoji116]
The new romance follows reports that the Queen of Pop called it quits with model boyfriend Andrew Darnell, 23, after five months
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.