Search results

  1. B

    Hoja. Tuwe na Hansard yetu hapa JF.

    Ramada Kareem wana Jf. Napendekeza tuwe na hansard ya kudumu kwa mambo mazito ya kitaifa tuyajadiliyo hapa. mfn hili la makinikia tuwataje wabunge wa CCM waliokuwa mjengoni kati 1995 mpk sasa ambapo mikataba na miswada ya hovyo ikiidhinishwa mjengoni kwa ndio nyingi. Lengo tuwasute hapa...
  2. B

    Swali la kizushi: Hivi ni nani anayepata umeme unit moja kwa shillingi 100?

    Nimeuliza hivyo kwa sababu nina maeneo mawili yatumiayo umeme chini ya unit 30 kwa mwezi kila upande. Lakini ninunuapo umeme wa 10000 kila site napata unit 28 sawa na @ 350 kwa unit. Sasa najiuliza hii bei ya sh 100 kwa unit ni kwa vigezo vipi au tunapigwa changa la macho kama ilivo kwa PAYE...
  3. B

    Tuwe makini na mada ziletwazo kwa sasa, zinayeyusha current issues

    Wana JF natumaini hamjambo. Nimekuwa nikiona baadhi ya mada zinazotupiwa kipindi hiki nyingi zinamlengo wa kupotezea issue nyeti kwa sasa. Nasisitiza tusiyumbishwe current issues kwa sasa zinazohitaji utatuzi ni zifuatazo... 1. Yu wapi Ben Sanane?. 2. Miili saba mto ruvu ni kina nani?. 3...
  4. B

    Hili la msamaha wa kodi kwa wafanyabiashara wa DRC pekee binafsi nahisi litaleta matatizo zaidi

    WanaJF katika kutizama taarifa ya habari kupitia Azam two leo, nimemsikia Rais Magufuli akisema TPA imetoa msamaha zaidi wa kodi ktk mizigo ya wafanyabiashara wa DRC kutoka siku 14 hadi 30 za utuzaji. Je, hili halitasababisha bandari yetu ionekane na watumiaji wengine kama wabaguzi...
  5. B

    Zitto awakumbuka waliokufa ajali ya Mv Bukoba

    Daima tutawakumbuka. Pia kumbukumbu hii imkumbushe rais Kikwete kutimiza ahadi yake ya meli kubwa zaidi katika ziwa Victoria kama alivyoahidi katika kampeni.
  6. B

    Haah kwa mashine hii kazi kwenu kinadada

    Urembo kaazi kweli kweli! teh teh teh
  7. B

    Kutoana out kwa wapendanao kunaimarisha penzi.

    Wamependeza za hawa. Teh teh teh
  8. B

    Are these man made figures?

    Nawatakia weekend njema wadau.
  9. B

    Dina Marios vs Reuben Ndege LIVE

    Hakika mwa pendeza nyie, lkn msikomee njiani.
  10. B

    Naomba jujua uhusiano wa Zakia na JK make mengi yanasemwa

    Wana JF naomba wenye uelewa sahihi wa uhusiano wa JK na mama Zakia make nijuavyo mimi kisiasa yule mama hana jipya la kutusaidia watanzania wala CCM, lakini ninachojiuliza ni namna alivyomteua mapema kuwa mbunge ilihari alishapewa nafasi akapwaya? yawezekana kamteua mapema ili awahi uteuzi wa...
  11. B

    Masha Lawrence yu wapi wadau?

    Ni mbunge wangu aliyemaliza muda wake lakini tokea Uchaguzi Mkuu sijamtia machoni kabisa, isije kuwa mabomu ya kamanda Siro yalimkumba.
Back
Top Bottom