Dina Marios vs Reuben Ndege LIVE

Batale

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,148
555
lovers.JPG Hakika mwa pendeza nyie, lkn msikomee njiani.
 
Attachments

  • lovers.BMP
    675.1 KB · Views: 2,386
Preta mbona walalama kwani wakiwa wapenzi kuna tatizo?. Lkn pia waweza kutujuza wana JF kama ni marafiki wa kawaida tutakuelewa kwa hija zako bila shida.
 
Hongereni sana Reuben na Dina zidisheni mapenzi kati yenu mpaka kina Loveness Diva wazidi kuumia na kutangaza mamaaa anatumia juju kudumisha penzi maana wao watu wakilamba wanateleza:love:
 
Hongereni sana Reuben na Dina zidisheni mapenzi kati yenu mpaka kina Loveness Diva wazidi kuumia na kutangaza mamaaa anatumia juju kudumisha penzi maana wao watu wakilamba wanateleza:love:

kuna wakati humu ndani kuna kuwa na ujinga mpaka inaboa....hebu tutolee udaku bwana unaboa kweli...inakuhusu nn?
 
umbea utawauwa....kwani mtu hawezi kupiga picha hivyo na rafiki yake?
wanaishi kwa umbea
wanalala kwa umbea
wanakula kwa umbea
wanakunya kwa umbea
wanasutwa kwa umbea
wanapigwa kwa umbea
ndoto zao ni umbea
ni uzao wa umbea
ni laana za umbea
kila kitu umbea

wakiacha watakufa:bored:

khekhekehehheeee hehehe ekekeeeheheheeee, hihiiiii hiiiiii
 
Hii stesheni yao inaonekana ni full malovee maana kipindi kile ilisemekana yule F.M alikuwa anatoka na R.M then yule binti wa kipindi cha mapenzi cha usiku nae akawa anatoka na yule anayejiita B-12 then hawa nao..,haya twawatakia kila la kheri.
 
kuna wakati humu ndani kuna kuwa na ujinga mpaka inaboa....hebu tutolee udaku bwana unaboa kweli...inakuhusu nn?

Bora uwachane Live binamu ... wanatushushia credit kabisa... Sometimes sredi nyingine zinaua JF yetu pendwa..
 
Back
Top Bottom