Search results

  1. U

    Maadui wa Watanzania: Aongezeka mmoja

    Wana JF Kwa muda mrefu tumekuwa na maadui watatu yaani Ujinga, maradhi na umasikini na tumekuwa tukipambanao mimi kwa mtazamo wangu ni kuwa ameongezeka adui mwingine ambaye CCM nasema hivyo kwa sababu CCM haijui kwanini Tanzania ni masikini na kama hujui tatizo hilo la umaskini si rahisi kuwa...
  2. U

    Maswali magumu kuhusu dowans

    Nashukuru nimesoma nakala ya hukumu ya mahakama ya kimataifa kuhusu suala la DOWANS vs TANESCO. Hadi sasa nipo katika kipengere cha 337 lakini nimeshangazwa namna nchi yetu ilivyoharibika halafu kwa ujasiri wa ajabu Rais Kikwete anasema hawajui wamiliki wa Dowans. Kuna mambo wakati mwingine...
  3. U

    Januari ashangaa wabunge wengine wamefikaje Bungeni?

    Wana JF nimeshangazwa sana na kauli za Januari Makamba wakati akichangia Hotuba ya Rais. Jamaa baada ya kubebwa na kupewa ubunge na mafisadi anajiona kuwa uwezo wake ni mkubwa wa uelewa wa mambo kiasi cha kuwashangaa wengine eti wamefikaje humu bungeni. Nilivyo muelewa mimi ni kuwa kwa kuwa...
  4. U

    CHADEMA tumuunge mkono Kikwete kwa mambo mazuri kwetu na kwa Taifa

    Ni Rais mwenye upendo kwa Watanzania kwa kuwa anajua jinsi CCM ilivyooza bila kuondoka madarakani nchi haiwezi kupata maendeleo na katumia akili sana kukiuwa chama cha CCM bila watu kujua strategy zake kama ifuatayo; kuwakumbatia mafisadi ili kuamsha hasira ya Watanzania ili kuichukia CCM moja...
  5. U

    Mambo ambayo yanatuangusha Watanzania

    1.Kukosa viongozi wenye kuweza kutengeneza dira (Focus) bila kuwa na maono huwezi kupanga mikakati ya kwenda kwa sababu hujui unakwenda wapi. 2.Kutokuwa na vipaumbele(stategic areas to stimulate development) kunakopelekea kila kitu kuwa ni kipaumbele huwezi kufanya kila kitu kwa wakati mmoja...
  6. U

    Elections 2010 CCM chama kinacholekea Kufa

    CCM ni chama kilichopoteza mwelekeo na mvuto kwa sababu ya kukumbatia ufisadi. Natoa angalizo mambo yanavyoendelea ndani ya CCM inaashiria kinaelekea ukingoni. Ubinafsi, jeuri na uzandiki ndio inachokigharimu CCM siku hiza. CCM isipoangalia inajichimbia kaburi.Imeandikwa mshahara wa dhambi ni...
Back
Top Bottom