Search results

  1. D

    Wanaoshinda kwenye computer/laptop na wanapata pesa huwa wanafanya kazi gani huko?

    Kwenye computa au smart phone Kuna makampuni mengi,yanaadvatise on line jiunge Kuna pesa Sana unaweza make 500k per day
  2. D

    Watoto wa Mzee Malecela hawana bahati na Siasa kama ilivyo kwa Wana wengine wa viongozi wa CCM

    Siasa ndio nini sasa, Kwao siasa hayakuwa mafanikio, hiyo hatua aliyokuwa amefikia Dr Mwele ni Mwanasisa gani atanusa hapo.
  3. D

    Serikali ifanye nini ili uchumi wetu uipiku Kenya na mataifa yenye uchumi mkubwa kuliko sisi?

    Tanzania, Tanzania. Nchi ya Watu wavivu kupindukia, watu hawafanyi kazi ila wanataka maisha mazuri, Wenzetu wanafanya kazi, kwa bidii. Na kutunza kile kidogo wanachopata. Watanzania ni wagonjwa sana kifikra, wanatamani ni lini na yeye atapata nafasi ya kuiba.
  4. D

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aivunja ngome ya CHADEMA Kilimanjaro

    Usiandike ujumbe, ukiwasemea wachaga. Tunajua tunachohitaji
  5. D

    Nadiriki kusema: 70% ya waTanzania tumeshaugua na kupona Corona zaidi ya mara tatu au zaidi bila kujua, nadharia ni hii

    Ni kweli kabisa, niliugua mwezi December 2019..niliumwa sana kwa wiki mbili
  6. D

    Jinsi gani nitamueleza baba mkwe wangu ili niepukane na karaha za kelele zake za kupiga Mswaki?

    Kwanza ni aibu kusema siri za babako, yaani unampenda mnae tu? Ingekuwa anajisaidia alipo? Kwa ufupi hakuna aliekupeleka kuposa kwake, ni wewe mwenyewe. Umefata nini huku?
  7. D

    Kiwanja sq 487 naweza jenga ghorofa na kubaki na parking ya kutosha?

    Wote waliokushauri, wamejitaidi, gorofa inahitaji vitu vingi, sehemu ya maji taka, ni muhimu. Parking, sehemu za kuanika nguo. Vitu vyote hivi vizingatiwe wakati was kuandaa michoro. Sqm 498 ni kidogo sana.
  8. D

    Kwanini Mabenki hayarudishi pesa wanazokata kama " Bima ya mkopo pindi deni la mhusika linapoisha

    Bima ni bahati nasibu,wanacheza mchezo was kupata au kukosa. Kumbuka bima ya mkopo, inaaply tu ukifariki kabla hujamaliza kulipa mkopo. Ukishindwa kulipa na upo hai amana yako inauzwa. Niambie mbona unapobet ukikosa hudai?
  9. D

    Nimepata dharura, nimeibiwa bodaboda zangu mbili nyumbani usiku wa kuamkia leo

    Nenda kwa yule mganga wa Bungoma Kenya. Ingia utube, kuna clip, utapata namba zake.
  10. D

    Kwaherini wanaJF, nimegundulika nina ugonjwa wa Hepatitis B. Niliowakosea naomba mnisamehe

    Ugonjwa wa homa ya ini unapona, kabisa. Matibabu yake kwenye hospitali za rufaa, Kcmc, Bugando, Mbeya Hospital, Muhimbili.
  11. D

    Rrr

    I the world the
  12. D

    Maziwa ya Kopo ya kunenepesha Mtoto Haraka

    Huyo mtoto Ana miezi 6 sasa, anafaa aanze kula vyakula mchanganyiko, vyenye dagaa, mayai, nyama ,na nafaka zisizo kobolewa. Hawezi shiba maziwa sasa. Maziwa iwe ziada tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. D

    Nakiri kuwa na wasiwasi na upakaji wa rangi wa ndege ya Fokker uliofanywa hapa nchini badala ya nje ili kuokoa mamilioni ya fedha

    Kwani hiyo ndio ndege ya kwanza kupakwa rangi hapa Tz? Kila mara tunaona ndege zikipigwa rangi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. D

    Serikali (NIDA) imefeli vibaya mno suala la vitambulisho vya taifa; kusubiri zaidi ya mwaka, vitambulisho vinapotea haviwafikii walengwa!

    Mbona inafanya kazi, vizuri tu, unatakiwa uwe na zaidi ya sh100 kwenye muda wa maongezi, sio kwenye Mpesa, Nimeitumia na nimepata number yangu NIDA Sent using Jamii Forums mobile app
  15. D

    Shangazi wanatishia kuniloga na wanashirikiana na polisi kunimaliza

    Huna haki kisheria, nenda kwa babako ukadai urithi.
Back
Top Bottom