Unapata kabisa parking,Onana na Achitecture akudizainie dizaini nzuriWana Jf nina kiwanja kipo dodoma ukubwa na sq 487 nawenza kujenga ghorofa na kupata nafasi ya parking?
Ndiyo kama ni makazi structure itachukua 280 na zinazobaki 200 ni paking. Ukienda juu floor 3 utapata makazi ya kutosha kabisaWana Jf nina kiwanja kipo dodoma ukubwa na sq 487 nawenza kujenga ghorofa na kupata nafasi ya parking?
Ndio unawezaWana Jf nina kiwanja kipo Dodoma ukubwa na sq 487 nawenza kujenga ghorofa na kupata nafasi ya parking?
Kuna magorofa Kariakoo vile viwanja nadhani ni 20*20 ila wao parking wanaweka ground floor or basement.Wana Jf nina kiwanja kipo Dodoma ukubwa na sq 487 nawenza kujenga ghorofa na kupata nafasi ya parking?
Na hapo hapo mjini kuna vingine havijatimia iyo 20 kwa 20 na wamejenga apartmentKuna magorofa Kariakoo vile viwanja nadhani ni 20*20 ila wao parking wanaweka ground floor or basement.
Nadhani aonane na architect ili kupewa ushauri, afanyiwe architectural design kutokana na landscape iliyopo(nimetania tu mkuu)Unapata kabisa parking,Onana na Achitecture akudizainie dizaini nzuri
Ushawahi kwenda katikati ya Jiji wewe? Hiyo nafasi inatosha kabisa kujenga ghorofa.Wote waliokushauri, wamejitaidi, gorofa inahitaji vitu vingi, sehemu ya maji taka, ni muhimu. Parking, sehemu za kuanika nguo. Vitu vyote hivi vizingatiwe wakati was kuandaa michoro. Sqm 498 ni kidogo sana.
Ume exaggerate, Kwan hizo square meter anajenga ghorofa vizuri kabisa na parking anapata.Wote waliokushauri, wamejitaidi, gorofa inahitaji vitu vingi, sehemu ya maji taka, ni muhimu. Parking, sehemu za kuanika nguo. Vitu vyote hivi vizingatiwe wakati was kuandaa michoro. Sqm 498 ni kidogo sana.
Vipo mpaka vya 15*20, na watu wanadondosha hotel za kufa mtuKuna magorofa Kariakoo vile viwanja nadhani ni 20*20 ila wao parking wanaweka ground floor or basement.
Umefunga pm yako utasaidiwaje? Mimi ndiyo kazi yangu inipayo heshima, kwa ufupi INAWEZEKANA kutegemeana pia na mahitaji yakoWana Jf nina kiwanja kipo Dodoma ukubwa na sq 487 nawenza kujenga ghorofa na kupata nafasi ya parking?
Labda uende nje ya mji ndio utapata uwanja wa vipimo ivyoYes unaweza, mara nyingi ghorofa moja ya kuishi(residential) huchukua kati ya mita 12 kwa 16, yaani imo katikati ya hivyo vipimo. Kiwanja cha sqm 487 ni kama mita 20 kwa 24, hivyo ghorofa linakaa vizuri tu japo nafasi inabaki ndogo na huwezi kuweka garden nzuri
Ila mm ndio ningekuwa wewe ningetafuta kiwanja cha atleast sqm 1000. Raha ya ghorofa kuwe na garden kali sana chini