Search results

  1. K

    Wananchi wa usa river walishwa sumu kutoka kampuni ya maua ya kiliflora

    Wananchi wa Usa river juzi walipata wakati mgumu baada ya mabomba yote ya maji kutoa maji yenye rangi ya maziwa.Wenyeviti wa vitongoji waliona hali hiyo wakachukua hatua haraka ya kwenda kwenye chanzo cha maji na wakakuta mafundi bomba wa Kiliflora ndio waliounganisha bomba la mbolea ya maua...
  2. K

    CHADEMA yashinda uwenyekiti mji mdogo Usa River leo

    Kwa mujibu wa mwenyekiti wa CHADEMA kata Ndugu Paulo,amesema Kamanda Malisa ameshinda kwa kishindo katika uchaguzi huo na kumuangusha mgombea wa wa CCM ndugu Tom wa kitongoji cha Llima Sioni. Pamoja na utundu uliotumika wa CCM kuongeza madiwani watatu nao wapige kula lakini juhudi zao ziligonga...
  3. K

    Uchaguzi wa wenyeviti wa vitongoji tisa kata ya usa river,arumeru kwa dogo janja

    Inawahusu Makamanda wa CHADEMA,Tunatarajia kufanya uchaguzi Mdogo Kata ya usa river,Arumeru kwa ajili ya kupata Wenyeviti wa vitongoji Tisa kata ya Usa river kwahiyo tunaomba Msaada wenu ili tuimalize CCM,Makamanda jana ndio tumemaliza mchakato wa kuteuwa wenyeviti wetu wa CHADEMA uchaguzi ni...
  4. K

    Chopa ya chadema yawapa kiwewe ccm nao waleta mbili

    Habari za Kuaminika kutoka kwenye vyanzo vyetu vya habari ndani ya ccm kuwa tabia ya chopa ya chadema kutawala anga ya Arumeru imewaudhi wanachama wa ccm na kushauri viongozi wao wafanye wawezavyo walete chopa mbili kujibu mapigo ya chadema maana chopa yao inatutesa sana hapa Arumeru.Habari hizi...
  5. K

    Zomea zomea ccm yawageukia wanafunzi na walimu

    Hali tete imetawala Arumeru na kuzua kizaa zaa sehemu mbalimbali wakihusishwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na walimu ,wamelaumiwa na viongozi wa ccm kwa tabia ya wanafunzi hao wanapoona gari la TOT la matangazo na magari mengine ya CCM wanayazomea kwa nguvu na kusababisha watu wengi...
  6. K

    Sugu na Halima Mdee wafunika Arumeru

    Wabunge wa chadema Mr Sugu na Halima Mdee Jana wameweka kambi katika kitongoji alikotekwa mwenyekiti wa Tawi wa chadema na kufanya mkutano mkubwa pasipo mgombea wa chadema ndugu Joshua Nassari na kukonga nyoyo za watu katika kitongoji hicho hatimae wajumbe wa nyumba kumi kumi wapatao sita...
  7. K

    Viongozi wa CHADEMA watekwa na kufanyiwa vitendo vya Kinyama

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida kundi linalosadikika ni la green guard la ccm wamekuwa wakifanya vitendo vya utekaji wa viongozi wa chadema, waliotekwa pamoja na mwenyekiti wa kata wa chadema na mwenyekiti wa tawi la magadilisho pia mwingine ametekwa jana makumira ndugu na jamaa walimtafuta...
Back
Top Bottom