Viongozi wa CHADEMA watekwa na kufanyiwa vitendo vya Kinyama

kombah

Member
Nov 1, 2010
52
38
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kundi linalosadikika ni la green guard la ccm wamekuwa wakifanya vitendo vya utekaji wa viongozi wa chadema, waliotekwa pamoja na mwenyekiti wa kata wa chadema na mwenyekiti wa tawi la magadilisho pia mwingine ametekwa jana makumira ndugu na jamaa walimtafuta jana usiku mpaka sasa haijulikani kama wamempata.vile kundi hilo lilijaribu kuteka nyumaba ya kulala wageni ambapo kuna viongozi wa chadema.Baada viongozi wa chadema kuwapigia wenzao waliokuwa jirani na hapo hilo kundi likatokomea kusikujulikana
 
Hii hatari sasa tumeanza kutekana.....!!! Muda si mrefu wataanza kuajiriwa al-shabab kwa kazi ya kuteka.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kundi linalosadikika ni la green guard la ccm wamekuwa wakifanya vitendo vya utekaji wa viongozi wa chadema, waliotekwa pamoja na mwenyekiti wa kata wa chadema na mwenyekiti wa tawi la magadilisho pia mwingine ametekwa jana makumira ndugu na jamaa walimtafuta jana usiku mpaka sasa haijulikani kama wamempata.vile kundi hilo lilijaribu kuteka nyumaba ya kulala wageni ambapo kuna viongozi wa chadema.Baada viongozi wa chadema kuwapigia wenzao waliokuwa jirani na hapo hilo kundi likatokomea kusikujulikana

Vipi CDM wametoa taarifa Polisi? Hao waliotekwa wamefanyiwa vitendo gani vibaya?

Ina maana tunaanza kushuhudia ya Al shabaab hapa nchi?
Jana nimemuona Isaya Mngulu akiunguruma, je hakulisemea hili la kutekana?
 
Hivi Chadema mnajiita Makamanda wa nini kila siku nyie ni kutekwa tu. au walinzi wenu ni wadogo zake na Mwenyekiti wa Chama taifa nini manake nasikia ana wadogo zake ambao ni watoto si na wengine ndiyo biashara wanayoifanya majuu. Au kulalamika mmetekwa nako ni njia mojawapo ya kujipatia umaarufu majukwaani?
 
Dawa ya "bullies" ni vipigo tu, siyo maongezi!

Niliwahi kuksoma kijitabu fulani cha Saikolojia ya watoto ambacho kilisema hili kuhusu watoto wanaofurahia kupiga-piga wenzao, kwa kizungu bullies. Kinachowaachisha u-bully ni kipigo tu cha nguvu. Hamna kingine. CCM kimekuwa chama cha bullies katika hizi chaguzi mara nyingi. Wakati umefika wajibiwe kwa sera ya kumtibu bully.

Mtoto wa kiume machungani anayeogopa bully huwa tunamtoa kwenye kundi la watoto wa kiume. Vijana wa Chadema chukueni somo la Zanzibar ambako walikataa kuwa bullied hatimaye huyo bully CCM akakubali serikali ya mseto. Naomba kusikia mmetoka nje ya nyumba zenu wiki hii na kuwaonesha hao bullies nyie mnazo pumbu mbili pia, kila mmoja wenu. Dawa ya bullies sio maongezi!
 
Vipi CDM wametoa taarifa Polisi? Hao waliotekwa wamefanyiwa vitendo gani vibaya?

Ina maana tunaanza kushuhudia ya Al shabaab hapa nchi?
Jana nimemuona Isaya Mngulu akiunguruma, je hakulisemea hili la kutekana?

Hata kule igunga CDM walimwagia watu tindikali kwa kisingizio kuwa wanfanyiwa vitendo vibaya. Huyo aliyefanyiwa vitendo vibaya ni mwanamke au mwanaume? Dalili za kushindwa huko. Ukiona hivyo ujue tayari viongozi wa CDMA tayari wameshavuna mapesa wanajipanga kuingia mitini wakagawane.
 
Hivi Chadema mnajiita Makamanda wa nini kila siku nyie ni kutekwa tu. au walinzi wenu ni wadogo zake na Mwenyekiti wa Chama taifa nini manake nasikia ana wadogo zake ambao ni watoto si na wengine ndiyo biashara wanayoifanya majuu. Au kulalamika mmetekwa nako ni njia mojawapo ya kujipatia umaarufu majukwaani?

haya ndo huwa mawazo ya mtu alozaliwa guest.
 
Hivi arumeru hakuna ulinzi jamii..... kutekwa na kufanyiwa kitu mbaya ndio nini??, jeshi la polisi liko wapi??

Inakera sana kuona kila uchaguzi mbinu ni zilezile, sijui 2015 watateka watu wangapi sasa nchi nzima
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kundi linalosadikika ni la green guard la ccm wamekuwa wakifanya vitendo vya utekaji wa viongozi wa chadema, waliotekwa pamoja na mwenyekiti wa kata wa chadema na mwenyekiti wa tawi la magadilisho pia mwingine ametekwa jana makumira ndugu na jamaa walimtafuta jana usiku mpaka sasa haijulikani kama wamempata.vile kundi hilo lilijaribu kuteka nyumaba ya kulala wageni ambapo kuna viongozi wa chadema.Baada viongozi wa chadema kuwapigia wenzao waliokuwa jirani na hapo hilo kundi likatokomea kusikujulikana

mkuu mbona unakumbuka juzi apa vijana wa chadema walishambulia kwa mawe msafara wa ccm na kuwapiga waandishi wa habari kwa mawe?wakavunja vioo vya magari ya viongozi wa ccm???
 
Kilichotokea mimi nilikuwa karibu na tukio ilikuwa jioni gari la Nambari wani likitoka maeneo ya tengeru chini ambako walifanya mkutano inasemekana walipata watu wachache wamerudi kupitia njia chini kwenya kambi yao wakiwa na hasira wakalutana na vijana wa chadema wanatoka kwenye mkutano kilichofanyika wale vijana walikuwa wanaonyesha vidole viwili juu wanaashiria vema.Hawa jamaa wa nambari wani wakaonyesha vidole viwili na kuwekidole kingine katikati ya vidole viwili ndio ugomvi ulianzia hapo wale wa chadema wakaona wanatukanwa ndio ugovi ulianza hapo lakini haukuchukua muda mrefu police wakatokea.
 
Back
Top Bottom