Search results

  1. K

    Makonda: Mwacheni Mbowe afanye tu harambee za Kanisani, na ili afanikiwe lazima aje kwa Watu wa CCM. Inawezekana ile 150m iliyotoka ilikuwa 200m

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda akiwa katika Ziara ya Wilayani Hai mkoani Kilimajanro amewaambia wanaccm kuwa wamuache Mbowe afanye tu harambee za Kanisani Amesema "Kaka yangu yule mwacheni afanye harambee za Kanisani, na ili harambee za Kanisani...
  2. K

    Kigwangalla: Baada ya mipango mizuri iliyotengenezwa kumuangusha Gekul na Chongolo, nani anafuata? Kuna wengine wanakuja!

    Kupitia X (zamani Twitter), Anaandika Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini Hivi baada ya a very carefully planned and executed mission ya kumuangusha Mhe. Gekul na Ndg. Chongolo, unaweza ku-guess anayefuata ni nani? Competitive intelligence imejikita kwenye kujua kitakachotokea kabla...
  3. K

    Makonda ni nani hasa kwenye Siasa za Tanzania? Kwanini nguvu kubwa inatumika kumrejesha ulingoni?

    Aisee! CCM ndio inaagiza utumiaji mbaya wa mali za umma?
  4. K

    Makonda ni nani hasa kwenye Siasa za Tanzania? Kwanini nguvu kubwa inatumika kumrejesha ulingoni?

    Hii nchi kuendelea ni ngumu sana. Mali za nchi zinatumika ovyo lakini wapo watu kama wewe wanafurahia kisa mahaba kwa muhusika
Back
Top Bottom