Kigwangalla: Baada ya mipango mizuri iliyotengenezwa kumuangusha Gekul na Chongolo, nani anafuata? Kuna wengine wanakuja!

Katoto Kadogo

Member
Jul 3, 2015
7
21
Kupitia X (zamani Twitter), Anaandika Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini

Hivi baada ya a very carefully planned and executed mission ya kumuangusha Mhe. Gekul na Ndg. Chongolo, unaweza ku-guess anayefuata ni nani?

Competitive intelligence imejikita kwenye kujua kitakachotokea kabla hakijatokea (fore knowledge).

Tunaishi kwenye dunia ya ushindani mkali, dunia ya mashambulizi makali ya kiteknolojia - je, tuko aware? Ama tunapigwa halafu tunajifunza baada ya kupigwa? Tunaanza kujadili matokeo?

Niliandika hapa juzi kuwa, kwenye uwanda wa siasa kuna mambo mengi sana yanaweza kutokea, na kwamba siyo lazima yawe halisi ama kweli; yanaweza kutokea kwa kupangwa (kama yale yaliyonikuta mimi, ama haya ya Gekul na Chongolo) na ama hata kwa ajali tu!

Kuna pattern naiona. Sijui kama na wewe unaiona! Kuna victims wengine wanakuja. Tafakari! Chukua hatua.

Gekul anaonekana shetani, katili, jambazi asiye na ubinadamu hata kidogo ndani yake, sababu kiukweli kitendo cha namna hiyo hakifai wala hakifikiriki!

Vipi ukijua ukweli kwamba kijana hakuwekewa chupa, utasemaje? Pengine Gekul acted too naively, Pengine amejiweka kwenye mazingira ya kushughulikiwa na hatimaye kupata hukumu ya jamii. Pengine.

Kwa mwanasiasa na kiongozi mkubwa, hukumu ya jamii inatosha kukupotezea sifa ya kuwa kioo cha jamii, haijalishi tuhuma ziwe halisi ama ama uzushi. Moja ya somo kubwa la uongozi tunalopata.

Somo lingine ni kuwa; mitandao ya kijamii ina nguvu sana. Ikitumiwa vibaya na watu wenye nia mbaya inaweza ikaangusha dola, achilia mbali kuangusha mtu mmoja mmoja.

Somo lingine: wanaCCM tuamke sasa, kazi imeanza. Vita vya kisiasa vinapiganwa huku sasa hivi. Kumekucha!

IMG_8366.jpeg

IMG_8367.jpeg
 
Niliandika hapa juzi kuwa, kwenye uwanda wa siasa kuna mambo mengi sana yanaweza kutokea, na kwamba siyo lazima yawe halisi ama kweli; yanaweza kutokea kwa kupangwa (kama yale yaliyonikuta mimi, ama haya ya Gekul na Chongolo) na ama hata kwa ajali tu!
Tusindikizie na kavideo ka kunogesha Uzi
 
Huyo Kigwangala atulie tu akiwa wizara ya maliasili na utalii alikuwa anapiga dili za kuchukua ndege ya umma anapakia vimada wa bongo movie na bongo flavour kwa mgongo wa kutangaza utalii

Alichonga kinyago cha
hovyo kisichofanana na uhalisia wa sura ya Nyerere.

Huyu alitakiwa awe nyuma ya nondo hadi hapo ,pesa nyingi kachepusha kwa matumizi yake binafsi ndio maana hazikua na mkataba ! huyu ni jambazi tu kama kina Gekul atulie tu
images (25).jpeg
 
Kupitia X (zamani Twitter), Anaandika Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini

Hivi baada ya a very carefully planned and executed mission ya kumuangusha Mhe. Gekul na Ndg. Chongolo, unaweza ku-guess anayefuata ni nani?

Competitive intelligence imejikita kwenye kujua kitakachotokea kabla hakijatokea (fore knowledge).

Tunaishi kwenye dunia ya ushindani mkali, dunia ya mashambulizi makali ya kiteknolojia - je, tuko aware? Ama tunapigwa halafu tunajifunza baada ya kupigwa? Tunaanza kujadili matokeo?

Niliandika hapa juzi kuwa, kwenye uwanda wa siasa kuna mambo mengi sana yanaweza kutokea, na kwamba siyo lazima yawe halisi ama kweli; yanaweza kutokea kwa kupangwa (kama yale yaliyonikuta mimi, ama haya ya Gekul na Chongolo) na ama hata kwa ajali tu!

Kuna pattern naiona. Sijui kama na wewe unaiona! Kuna victims wengine wanakuja. Tafakari! Chukua hatua.

Gekul anaonekana shetani, katili, jambazi asiye na ubinadamu hata kidogo ndani yake, sababu kiukweli kitendo cha namna hiyo hakifai wala hakifikiriki!

Vipi ukijua ukweli kwamba kijana hakuwekewa chupa, utasemaje? Pengine Gekul acted too naively, Pengine amejiweka kwenye mazingira ya kushughulikiwa na hatimaye kupata hukumu ya jamii. Pengine.

Kwa mwanasiasa na kiongozi mkubwa, hukumu ya jamii inatosha kukupotezea sifa ya kuwa kioo cha jamii, haijalishi tuhuma ziwe halisi ama ama uzushi. Moja ya somo kubwa la uongozi tunalopata.

Somo lingine ni kuwa; mitandao ya kijamii ina nguvu sana. Ikitumiwa vibaya na watu wenye nia mbaya inaweza ikaangusha dola, achilia mbali kuangusha mtu mmoja mmoja.

Somo lingine: wanaCCM tuamke sasa, kazi imeanza. Vita vya kisiasa vinapiganwa huku sasa hivi. Kumekucha!

View attachment 2829996
View attachment 2829997
Anayefuata ni kigwangala. Huwezi kuwa tapeli uka survive.
 
Kwenye Ulimwengu wa kijasusi, mbinu nyingu hutumika kumsambaratisha mlengwa.

Kwanza unabatizwa jina baya ambalo hutanish image Yako oublically!

Mfano unaweza kuitwa GAIDI ambalo kimsingi Kila nchi ikiwemo nchi yako zinakukataa!

Badae linatangazwa dau kubwa sana la atakaye kuona popote akuripoti..Hapa utaikimbia mpaka familia Yako maana Sadam Hussein aliripotiwa na mke wake Kuwa kajificha shimoni kisa pesa.

Hapa unalazimika kuishi kama digidigina vyombo vyote vya habari binakutangaza kama kitisho kikubwa...ukifikia Hapa Hadi Simu ya mkononi hutumii.

Mwishowe utasikia ndege isiyokuwa na Ruban yawaua magaifi sita nawewe ukisadikiwa kuwemo

End of your reign!

Binadamu achana-nao!
 
Kwa mujibu wa katiba ya CCM ya mwaka 1977 (toleo la 2017) ibara ya 18 (1) na 18 (2) kuhusu rushwa, uadilifu na udanganyifu wa viongozi, hakuna kiongozi wa CCM aliye msafi, narudia tena, aliye msafi!

Angalia makashfa yote yanayowahusu viongozoi wa ccm;
IPTL
Escraw
SGR ( single source)
Ufisadi mkubwa wa "kutoa" mbuga zetu
Vitalu vya gas
DPW
Na mengine mengi mno mno!
Hii inaonyesha kuwa chongolo sio suala la UADILIFU bali ni visa tu ili kumuondoa na kuweka watu wa kambi nyingine, kwani uadilifu ndani ya CCM HAKUNA!
 
Back
Top Bottom