Search results

  1. F

    Tofauti kati ya uhalisia(reality) na ukweli (truth)

    Wanaintelligensia, leo nakuja kifalsafa, hebu tuchemshe akili katika kuambiana maana na matumizi ya maneno hayo hapo juu, ukweli ni upi na uhalisia ni upi. Asanteni.
  2. F

    Viongozi wa CHADEMA jimbo la Singida Mashariki wasimamishwa kwa kushiriki shughuli za maendeleo

    Chanzo ni star tv habari tarehe 6/10/2013 Mmoja kati ya viongozi hao akiongea na star tv habari ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA wa jimbo la Singida mashariki na wenzake wawili, walidai wamesimamishwa na uongozi wa chama chao kwa mda usiojulikana kisa kushirikiana na uongozi wa wilaya pamoja na...
  3. F

    re: Rev. Kishoka Mawazo yako yalikuwa na mantiki

    Busara za --------
  4. F

    jamani angalieni tangazo hili

    nimeleta hii mada, c kwasababu ya kuwakosoa wenye mtandao husika, lengo ni kuelimishana, kama watu wanakosa kazi kwa uzembe wa kuandaa barua zao, au cv zao, wanazi2ma bila kuproofread, sasa huyu aliyepost tangazo hili nae bosi wake atamfanya nini, je, watu wangapi wanakosa kazi kwa uzembe kama...
  5. F

    Urgent..............please !!!!!!!

    habari zenu wapwazi, cjakanyaga jukwaa hili kwa takribani mwaka na miezi kadhaa japo kila cku natembelea jamii forums kuliko akaunti yangu ya facebook na twetter, nimekuja na jambo moja jamani nawatafuta watu muhimu sana ktk JF, ambao ni miongoni mwa magreat thinkers, sizioni mada wala comments...
  6. F

    for job seekers please try this

    WZZUB- The Power of "We" log in at http://signup.wazzub.info/?lrRef=b688c446 halafu tushirikishe ulichogundua tafadhali, fuatilia ucwe mvivu,uckate tamaa, it may work for you perhaps, best of lucky guys. atafutae hachoki akichoka keshapata
  7. F

    Tangazo la Marke.....ajira za mitandaoni(WARNING WAPENDWA)

    Jamani kwanza kabisa sipondi uwepo wa kazi hizi za kwenye mitandao,niliwahi kuifuatilia documentary moja hivi kupitia Aljaazeer,watu kweli wanapiga hela, lakini asilimia 98 wanapigwa hela, yaani ni fake na scams ndio zimejaa, baada ta bwana marke kuzileta humu kwa mbwembwe imebidi niwashirikishe...
  8. F

    Jinsi Tanzania ilivyogeuzwa shamba la bibi

    Kuna kiwanda cha kutengeneza Chupa kinaitwa Kioo Limited, Kipo jijini Dar es Salaam, hiki ni kiwanda kikubwa tu hapa nchini, kinatengeneza chupa, na kinauza ndani ya nchi na Afrika Mashariki na Kati kwa ujumla, kiwanda hiki kinamilikiwa na wahindi, kama ilivyo desturi ya viwanda vyingi nchini...
  9. F

    Pongezi za dhati kwa jf-mods and members(especially m.m.u forum)

    Natumai wote mu wazima wa afya njema. Wakati tunapoelekea mwishoni mwa mwaka 2010, nimeona nitoe pongezi zangu za dhati kwa wanajamii forum wote(mods &members), hakuna ubishi kuwa JF imetufungua macho, kuhusu mambo mengi sana ktk maisha yetu ya kila siku, achalia mbali maswala ya siasa, uchumi...
  10. F

    R&B a.k.a SLOWJAMS-kweli yaliyomo yamo jamani

    Niliposikia kwa mara ya kwanza kuwa watu wanaongoza kwa upole ustarabu, na mipango mizuri ya maisha katika jamii ni wale wanaosikiliza miziki aina ya R&B au SLOWJAMs ama miondoko ya taratib, nilitahamaki kidogo ,hii ni habari iliyotangazwa na Charls Hilary enzi zake Radio One Sterio akijulkana...
  11. F

    A SPECIAL GIFT FOR ALL JF FRIENDS(wishing you a joyful weekend)

    For all the friends that you may know who'd love to know how much you really care. What better way to say it? For all the times I needed you And you were there for me For all the times you showed You cared so unconditionally *~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~* For all the times a...
  12. F

    Nani anakosa na kwanini ?

    Habarini za mchana waungwana wa JF, leo nimelileta hili mezani ili tujadili maana watu wanakaangika katika jamii yetu. Hivi jamani inapotokea wazazi wako wamekulazimisha kuoa au kuolewa na mtu ambaye humpendi, na huyo muoaji au muolewaji pamoja na wazazi wanajua kabisa hilo jambo hulitaki ...
  13. F

    Lets talk about about love jf

    <a href="http://c.casalemedia.com/c?s=50976&f=2&id=6103547808.079379" target="_blank"><img src="http://as.casalemedia.com/s?s=50976&u=http%3A//www.funpages.com/thatslove/&f=2&id=6103547808.079379&if=0" width="728" height="90" border="0"></a&gt...
  14. F

    When a wrong one loves you right

    Niliurudia mara mbilimbili pindi ulipokuwa unaisha mwimbo huu wa bibie celine dion, maana maudhui yake yanagusa maisha yetu ya kila siku hasa ya mapenzi, Mara nyingi imetokea kwa baadhi ya watu tena ni wengi tu tukiwa katika mahusiano tunakuwa na vipaumbele vyetu, utakuta kama ni mwanamke...
  15. F

    Elections 2010 Nina hofu kubwa kwa Mpendwa wetu Dr Slaa kugeuzwa mtikila mpya

    Kwa mtiririko wa mambo yanavyoenda na matukio hasa ya uchaguzi mkuu, mh. Dr Slaa baada ya kuibua hoja ya kuhusika kwa TISS ktk hujma za uchaguzi , japo TISS wamemruka ni dhahiri watanzania wamebaki njia panda hasa katika kutaka kujua nani ni mkwali ukizingatia unyeti wa TISS ktk TZ,Tukifuatilia...
Back
Top Bottom