R&B a.k.a SLOWJAMS-kweli yaliyomo yamo jamani

Ferds

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
1,263
191
Niliposikia kwa mara ya kwanza kuwa watu wanaongoza kwa upole ustarabu, na mipango mizuri ya maisha katika jamii ni wale wanaosikiliza miziki aina ya R&B au SLOWJAMs ama miondoko ya taratib, nilitahamaki kidogo ,hii ni habari iliyotangazwa na Charls Hilary enzi zake Radio One Sterio akijulkana kam mzee wa nyepesinyepesi, wakati kikianza mwanzoni mwa miaka ya 2000, mida ya saa mbili na robo asubuhi, kilichostaajabisha au kufurahisha ni kuwa utafiti ulionyesha kuwa wanaume wanaopenda miondoko hiyo huwa ndio wastarabu na wanaojua kumcare mwanamama na ni wapole na watartibu kwa matendo yao........ WAAOOO!!!!. mijibaba mpo hapo.

Mimi ni mmja wao, kati ya wapenzi wa BLUES, na nimegundua kuwa kuna ukweli mtupu ndani ya utafiti huu hasa baada ya kutafakari na kufuatilia kwa kuoanisha na maisha yetu ya kila siku, matendo yetu tuyafanyayo, shida zinazotuandama, mikingamo tunayokutana nayo, n.k
Nyimbo hizi ukizifuatilia zinamaudhui mazuri sana ndani yake, zinafundisha,zinatia moyo, na mengineyo mazuri, hebu tuchunguze katika nyanja zifuatazo;-
1;Upendo wa kawaida kati ya ndugu, wanfamilia hasa midume kwa mama zao, sikiliza na utafakari walichoimba BOYZ II MEN- MAMA, au SPICE GIRLS kitu MAMA I LOVE YOU, CELIN DION kitu MAMA unadhani kwa nini mfumo dume usiiuche hapo,
2; Kinadad wanaoshindwa kueleza hisia zao kwa mtu aliemdondokea...... kata kitu cha BABRA ft CELIN TELL HIM, A WOMAN IN ME-SHANIA TWAIN.... uone kama hujawa jasiri wa kutia verse
3;Kwa wale waliovunjwa mioyo kwa udanganyifu wa kimapenzi msife mioyo jamani WHITNEY HUSTON anatuauuliza hapa WHERE DO BROKEN HEARTS GO, sikilizeni kibao hicho mtaliwazika, mlishawahi kujiliza kama kuta zingekuwa zinazungumza mabo yangekuwaje, hasa zile za guest houses... sikilza CELIN hapa THESE WALLS, wale wanaopungukiwa na maneno wakiwa na wapenzi wao, kama vipi dedications zipo cheki list hii; MY NO 1-ENRIC EGLESIOUS, THEN YOU LOOK @ ME- CELINE DION, LET LOVE LEAD THE WAY- SPICE GIRLS, MY ALL-MARIA CAREY, BROWNEYES-DESTNY CHILD, UR STILL THE ONE-SHANIA TWAIN, zipo nyingi san
4;- wale wazee wa ONE NIGTH STAND, mega kimbia au eat&run MICHAEL BOLTON -SAID I LUVE YOU BT I LIED do hii kali ,demu hakusumbui ukiitamka hii
5; wale wa infi... hasa wanawake kam Dena Amsi.....JUDY BUTCHER-I CANT BE WITH YOU TO NIGHT hapo cjui anamwambia mwenye mali cjui small house
hayo ni machache tu ila ki ukweli R&B imekava kila kona zingine mtaendeleza, na sasa ni mda mzuri tukielekea katika sikuku ya krismas hebu tumsikilize JULIO EGLESIOUS- A SONG OF JOY, jamni ni raha,
Ndio maana mimi nasema kuwa ndani ya miziki hii si haba lazima uambulie mawisdom- KWELI YALIYOMO JAMNI YAMO
 
yes,wanaoimba ni wasanii wanaakisi maisha halisi ya jamii wanayoizunguka!..so ni muhimu yanayoimbwa yawe ndiyo yanayotokea...

mie huu wimbo wa foreigner baadae maria carey naupenda,unahusika sana..LOL...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom