Elections 2010 Nina hofu kubwa kwa Mpendwa wetu Dr Slaa kugeuzwa mtikila mpya

Ferds

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
1,263
191
Kwa mtiririko wa mambo yanavyoenda na matukio hasa ya uchaguzi mkuu, mh. Dr Slaa baada ya kuibua hoja ya kuhusika kwa TISS ktk hujma za uchaguzi , japo TISS wamemruka ni dhahiri watanzania wamebaki njia panda hasa katika kutaka kujua nani ni mkwali ukizingatia unyeti wa TISS ktk TZ,Tukifuatilia record ya Slaa katika kuibua skendo za nchi hii zote huishia kuwa na impact kubwa hivyo yeye mpaka sasa ni bingwa wa kusema ukweli kama ifuatavyo
1 - Suala la Richmond aliitwa mzushi, lakini akavunja baraza la mawariri na mkweli kwa watanzania akawa yeye
2- EPA - bado akaibuka mshindi japo aliwekewa zengwe
3-MEREMETA, Ingawaje limepigwa danadana lakini wengi wanakubali kuwa lilikuwa c uropakaji wa DR bali ni kweli
CURRENT UZUSHI kwa walio wengi(Ukweli kwa akina ..................... )
1- kuwepo kwa lorry lenye kura kabla ya uchaguzi kufanyika
2-Kuhusika kwa TISS katika wizi wa kura zake (serious allegation needs proof beyond all shadows of doubts)
Hofu yangu ni kuwa nchi hii imekuwa na mtindo wa kugeuza mbongo za watanzania kwa kuwafanya wasema ukweli kugeuka wasema ovyo, wamefanikiwa kwa REV MTIKILA ambaye mtaani amebatizwa kuwa msema ovyo au kibaraka wa CCM eti coz hachukuliwi hatua, kama wengi mnavyohoji Slaa kwa nini hachukuliwi hatua, MREMA Lyatonga naye kapitia mkondo huu hadi sasa kwishney. Je magreat thinkers mmeliona hilo au ni mimi tu
Maoni yangu ni haya,katika kuchangia hoja hii tuichambue maxim maarufu ya SHARIAH inayosema "CERTAINITY IS NOT OVERULED BY DOUBTS" tuonyeshe ipi ni certain position so far. Karibuni na santeni
 
Dr Slaa ana proven track of records ya vitu alivyoibua na umma ukadhibitishiwa kuwa ni kweli na wahusika kuwajibishwa na wengine kesi zaunguruma
 
Back
Top Bottom