Chanzo ni star tv habari tarehe 6/10/2013
Mmoja kati ya viongozi hao akiongea na star tv habari ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA wa jimbo la Singida mashariki na wenzake wawili, walidai wamesimamishwa na uongozi wa chama chao kwa mda usiojulikana kisa kushirikiana na uongozi wa wilaya pamoja na kampuni ya Shanti mining katika kuhimiza wananchi katika kuchangia shughuli za maendeleo, ikiwemo ujenzi wa vyoo katika shule za msingi, ujenzi wa kituo cha polisi , na ujenzi wa vyumba vya madarasa vyote vikigharamiwa na kampuni hiyo ya shanti mining company.
Je hii ni aina gani ya siasa wanajamvi?.
Hawa viongozi kwa kauli zao wameonyesha masikitiko yao juu ya maamuzi hayo ya chama chao.