habari zenu wapwazi, cjakanyaga jukwaa hili kwa takribani mwaka na miezi kadhaa japo kila cku natembelea jamii forums kuliko akaunti yangu ya facebook na twetter, nimekuja na jambo moja jamani nawatafuta watu muhimu sana ktk JF, ambao ni miongoni mwa magreat thinkers, sizioni mada wala comments kutoka kwa hawa watu, wako wapi, kwa ajuae anijuze please!
1-anaitwa ASPRIN au BABU, yuko wapi kwa ajuae alipo jamani taarifa, bila utaratibu itolewe, au kama babu umebadilisha jina tujuzane, tunakuhitaji, maana wajukuu cku hizi wamekuwa wengi na adabu hazina brake hata kigo
2-Mwingine anaitwa PAKA MWEUSI cjui ndio huyuhuyu aliekuwa anajiita PAKAJIMY
3-Mama Big, huyu aliondoka kwa gia ya kwenda kujifungua hajarudi tena.
4- Rev Masamilo, mzee wa busara
5- Maralia Sugu, huyu jamaa nadhani anaongoza kwa ban, na kubadili majina huenda yupo ila atakuwa kashika adabu kidogo, maana cjayaona makeke yake long time kitambo.
Jamani mcdhani kuwa wengine cwapendi, la hasha nawapenda wote humu JF kasoro Invisible coz amenipa access ktk jukwaa hatari na angamizi la mambo ya kikubwa, halafu anaruka eti @ur own risk, da jamaa muuji wa kimyakimya, ila ucnipe bani mkuu respect sanaaaaaaaaaa.
au mmejichimbia ktk jukwaa lenu la 'mapremiere'
with thanks
ferds