Search results

  1. H

    Siendi Mkoani Ng'ooo!! Dar es salaam is the future! Mikoani ni didimizo la uchumi binafsi

    Lara 1 mtizamo wako umeuangalia upande mmoja tu! Yapo matatizo mengi ambayo ukiyafahamu yanaweza kuubadirisha mtizamo wako juu ya Dar Es Salaam. 1. Dar Es Salaam tunalikubali kuwa nini Jiji maarufu sana Tanzania ila kuna mambo mengi yanayolifanya lionekane kuwa si Jiji zuri sana kuishi,moja...
  2. H

    EAC bado ipo?Mambo yanayoendelea Mh. Sitta anasemaje?

    Asili ya Jumuia ya Afrika Mashariki ni Nchi tatu tu, Tanzania,Kenya na Uganda huu muongezeko wa hizi Nchi mbili Rwanda na Burundi umefanyika kwa kuwa Nchi hizi tuko nazo karibu sana Kijiografia lakini siyo Kijamii. Nchi yetu Tanzania tumekuwa wahanga wa Wakimbizi kwa miongo kadhaa sasa na...
  3. H

    Raia Mwema: Lowassa na usanii wa ziara ya Obama

    Nahakika kuwa Mkuu huyo Mwandishi haujamuelewa,karibu Watanzania wote tuna fahamhu kuwa Edward Lowassa alijiuzuru kwa kuwa kama Waziri Mkuu alishindwa kusimamia vyema sheria ya manunuzi ya Umma kwa kupindisha taratibu zilizopo ili kuipatia nafasi kampuni ya Richmond LLC kupata tenda ya kuiuzia...
  4. H

    Mkuu wa Majeshi lazima atoke Jeshi la Kujenga Taifa?

    Ndugu yangu nami napenda nikupe ufahamu kuhusu majeshi yetu ya ulinzi na usalama.JWTZ inajukumu la kulinda mipaka yetu yote,Jeshi la Polisi lina jukumu la kulinda watu na mali zao,Jeshi la Magereza linajukumu la kuwarekebisha tabia wale wahalifuwote wanaotumikia vifungo vyao Jela...
  5. H

    Ugomvi wa JK na Kagame kuiathiri vibaya Tanzania kiuchumi. Rwanda, Uganda kutumia bandari ya Mombasa

    Wakenya,Waganda na Wanyarwanda tunawafahamu kwa roho zao mbaya na ndiyo sifa inayotutofautisha sisi Watanzania na hao wenzetu maana siku zote wao wamekuwa watu wa kujitenga tu! Tuwaache wafanye wanachotaka kukifanya maana njia ya mnafiki ni fupi.
  6. H

    Kwanini mikoa ya kusini iko nyuma kimaendeleo?

    Mkuu hali ya sehemu moja kuwa na maendeleo na sehemu nyingine kukosa huwa inachangiwa na vitu vingi sana kama kwenu Singida asilimia kubwa ya Wasichana na Wanawake zenu ni wauza Baa yaani Ma Barmaid na Madada poa hivi hii nayo inachangiwa na nini? Yaani usiangalie kwa mwenzio kabla kwako...
  7. H

    'Mwanajeshi' aliyepiga picha na Lema afungwa jela miaka minne

    Mkuu huyu mtu amefungwa kwa kosa la kujifanya yeye ni Afisa wa Jeshi na kwa mujibu wa Katiba yetu vyombo vyetu vya ulinzi na usalama haviruhusiwi kujiunga na chama chochote hivyo yule kijana 'mwanajeshi' amevunja katiba!
  8. H

    Waraka maalum kwenda kwa waziri wa mambo ya ndani kuelezea ukabila uliokithiri idara ya uhamiaji

    Nimependa mchango wako kwa kuwa ulichokiandika ndiyo ukweli wenyewe!
  9. H

    Naomba kuuliza ili mtu aitwe doctor kama dk SLAA ,dk Harison ana ngazi gani kielimu

    Mkuu nimependa hoja yako kwani ni uelewa duni tulionao watu wengi mpaka inafikia wakati tunashindwa kumheshimu Rais wetu.Chuo Kikuu cha Nairobi wamethamini mchango wa Dr Kikwete na ndiyo maana kapewa heshima hiyo ila angepewa Mkapa bila shaka kusingekuwa na maneno sana!
  10. H

    Jama msaada wenu khs operamini!

    Kuwa mvumilivu mkuu huwa inachukua muda mrefu alafu kama simu yako ume install antivirus mara nyingi huwa inachelewa kufunguka.
  11. H

    Rais kutoka Zanzibar haiji kutokea tena

    Ukisoma historia vizuri utabaini kuwa Muungano wetu haukuwepo kwa matakwa ya Tanganyika ama Zanzibar bali ni Marekani iliyoshinikiza hizi Nchi ziungane kwa hofu kubwa kwamba mwelekeo wa Viongozi wa Zanzibar kipindi hicho ulikuwa unalenga kuwa na mahusiano na kambi ya Mashariki ambayo ilikuwa...
  12. H

    Msaada wa Kitabu au Publication iliyoandikwa na Jakaya Kikwete

    Mkuu naimani wewe kama ni msomi mzuri unafahamu kuwa kuna Udaktari wa namana tatu na tushawahi kujadili hili suala kuwa,mtu anaweza kuitwa Daktari kama amesomea Shahada ya kwanza ya Utabibu wa magonjwa ya Binadamu ama Mifugo,aina ya pili ya Udaktari ni yule mtu aliepata kusomea fani yoyote ile...
  13. H

    Ujio wa digital ni pigo kubwa kwa CHADEMA + Upinzani na katiba mpya

    Mkuu nashukuru hili jambo umeliona na kulisema,kama utakumbuka pia wakati wa Usajili wa line za Simu haohao TCRA walitoa muda karibu mwaka mzima kuwa watu wote tujisajili line zetu za Simu lakini cha ajabu ilipobaki siku kadhaa kufika mwisho wa huo usajili foleni zilikuwa kubwa sana kiasi...
  14. H

    Mawaziri wa JK wagongana

    Si kila jambo analoongea Waziri lina maslahi na Nchi hivi ni uwekezaji gani ambao unaruhusiwa kufanyika bila ya kufuata utaratibu? Mkuu nimeupenda mchango wako na Waziri Kagasheki ndiyo hana maono na anatakiwa kweli atuombe radhi Watanzani kwa uzembe huu anaoutetea hatuwezi kuwaacha...
  15. H

    Pinda ni zaidi ya Cleopa David Msuya

    Kuna maeneo mengi ya Kusini ya Tanzania na Nyanda za Juu Kusini waliacha nyuma kimaendeleo ni fedha hizo hizo alizotumia Sumaye kujenga uwanja wa ndege wa Arusha ili kuufanya uwe wa Kimataifa wakati kilometa chache upo uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro je huo usio wizi? Kama Mramba alikuwa...
  16. H

    Hali ni mbaya Dar es Salaam!

    Dar Es Salaam siyo sehemu salama ya kuishi wala siyo sehemu salama ya kufanyia kazi maana kila siku kama ni Baba wewe ndiyo unakuwa wa mwisho kurudi nyumbani na wakwanza kuondoka nyumbani,watoto wako hakuoni unaporudi maana unarudi saa 5 usiku wao wameshakula na kulala na unaondoka saa 11...
  17. H

    Kama Mugabe aliweza kunyang’anywa Degree ya heshima, sitashangaa hilo likitokea hapa nchini!

    Nilipata nafasi kulizungumzia jambo hili kipindi kilichopita ingawa siyo vibaya kurudia tena kwa faida ya watu wengi zaidi. Utambulisho huu wa mtu kuitwa Daktari ama Doctor kwa Kiingereza huwa unakuja kwa namna tatu. Namna ya kwanza ni kuwa mtu unaweza kuitwa Daktari ikiwa umesoma Chuo Kikuu na...
  18. H

    JK awapandisha vyeo majenerali

    Mkuu Meja Jenerali hapa kwetu ndiyo wanaongoza Divisheni na siyo Mabrigedia Jenerali.
  19. H

    JK awapandisha vyeo majenerali

    Nimetamka imempunguzia sifa ya ziada lakini si kumbagua kama wewe unavyofikiria pia niliwakumbusha kuwa kitengo cha Ujasusi cha Jeshi [Military Intelligence Unit] pamoja na majukumu yake mengine pia wanakazi ya kufuatilia mienendo ya maofisa wa Jeshi kila siku na kuripoti kwa Mkuu wa Majeshi...
  20. H

    JK awapandisha vyeo majenerali

    Mkuu inamaana kama kuna watu 20 wenye sifa ya kuwa Rais tuwe na Marais 20 na mmoja mwenye mamlaka? Nadhani tunachobishana sio nani kapewa nini, ni kuwe na mfumo unaohitaji kuongozwa na mtu wa cheo fulani halafu ndio anatafutwa, sio kuundia watu kazi. Pili umesema kuna mtu kanyimwa cheo kwa...
Back
Top Bottom