Mwamba Usemao Kweli
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 744
- 186
Hata wajaribu kuspin kwa speed ya rocket, ukweli utabaki kuwa Lowassa alionewa tu! Ilikuwa inajulikana toka Mwanzo kuwa mitambo ya Richmond ililetwa na Wamarekani, Mipango yao ilikuwa inajulikana siku nyingi sana! Hata Jeshi letu lilitumika kukwepesha mito isimwage maji kwenye mabwawa yanayofua umeme ili mission zao zitimie! Innutshell USA walikuwa wanamgwaya Lowassa baada ya kufuta mkataba wa City Water enzi zile!... Tuache ushabiki tuzungumze ukweli! Hakuna tofauti kati ya Richmond, Dowans na Symbion! Haku transctions zilizopitishwa baina ya hizi kampuni!!! haya ni makampuni vifagizi vya Exxon Power!...
Tuambieni chuki zenu kwa Lowassa zinatokana na nini na si kutuletea umbea usiokuwa na mashiko....
chuki zetu kwa EL zinatokana na masabuli anayotufanyia watanzania. hatufai aende zake. msioutaka ukweli ndo huo hatufai. city water enzi zile wakati mmeelezwa kuwa alivunja mkataba baada ya mwandosya kuzuia gawio lake haramu la 100m kila mwezi kwenda kwake. hamktaki kuelewa. hivi nyinyi ni baby school au?